Uraibu wa punyeto/kujichua kwa zaidi ya miaka kumi suluhisho lake nini na uchukua muda gani tiba

Uraibu wa punyeto/kujichua kwa zaidi ya miaka kumi suluhisho lake nini na uchukua muda gani tiba

Welcome to reality,

Ma-feelings unayopataga kwenye punyeto na kuangalia videos za L hazipogi kwenye real life

Achana nayo hayo mambo yatakugeuza shoga
Kuna roho chafu huwa zinakufuata pale unapopiga punyeto na ndizo zinakupa hofu baada ya tendo Hilo

Achana tamaa, tamaa hutokaa uzimalize , moyo wako urizike
 
Samahani wadau nahitaji msaada nashida ya kuwa na uume mdogo na kuwai kumwaga na kila aina ya matatizo kutokana na kujuchua toka mwaka 2011 mpaka sasa nmeanza program ya NOFAP nko siku ya 10 nahitaji msaada kwa yeyote yule alie wai kuwa na hali kama yangu.

Ambae ka experience ili suala la murstabation kwa miaka kuanzia kumi alie pona kabsa na kuwa mwanaume normal kamili kama wengine na kuweza kupata mtoto anisaidie kunipa hints aliwezaje na ilichukua muda gani kupata tiba ntashukuru sana
emoji22.png
emoji22.png
emoji22.png
emoji22.png
Nenda Pale msikiti WA Qibla Tain kariakoo mtaa WA agrey,au mtaa msikiti WA ngazija posta siku ya Ijumaa.. kuna watu wana hizi Tiba dawa zake cheap
 
Welcome to reality,

Ma-feelings unayopataga kwenye punyeto na kuangalia videos za L hazipogi kwenye real life

Achana nayo hayo mambo yatakugeuza shoga
Kuna roho chafu huwa zinakufuata pale unapopiga punyeto na ndizo zinakupa hofu baada ya tendo Hilo

Achana tamaa, tamaa hutokaa uzimalize , moyo wako urizike
Asante mkuu
 
Mi nishawahi kujiapiza nikipiga tena nife lakini wapii, nikikaa peke angu ghetto mchana NANYETOKA ,

Naona inahitaji kujichanganya sana, usikae peke ako.
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kumbe ili janga ni kubwa sana nlikuwa najiona peke angu, lakini bado najiuliza kwamba nko pele angu tuu nnae ona hayo madhara
 
Una hofu sana kijana na hilo ndilo tatizo kubwa zaidi kuliko hilo la nyeto. Tatizo lako sio kubwa kiviiile...watu wamepiga nyeto kwa miaka 20 now na ndoa wanamudu vizuri tu. Tuliza kwanza akili na ufanye mazoezi kwa tulivu na mashine itakua imara tu
HILI NDO SULUHISHO LAKE, AFUATE MANENO HAYA
 
Back
Top Bottom