Uraibu wa punyeto utanimaliza, nifanyeje niweze kuacha?

Hypershulemia

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2021
Posts
275
Reaction score
841
Habari zenu MMU,

Mimi ni kijana mwenzenu leo acha nifunguke nipate msaada wa mawazo.

Mimi nilianza nyeto mwaka 2014 baada ya kufundishwa na mtoto wa jirani yetu. Tokea hapo nimepiga nyeto sana wastani mara tatu kwa wiki!

Sasa katika pita pita zangu mitandaoni nikaona bandiko kuwa nyetu zinapunguza size ya dushe, na mimi nikikumbuka zambani mzigo ulikuwa mrefu kama 8 inches leo nikapima nakuta ngoma ipo 6 inches hili suala limeniuma sana!

Pia naona nimeanza kupoteza kumbu kumbu sababu ya nyeto

Sasa wakuu mliopitia changamoto kama hii mliwezaje kuondokana nayo/kuiacha?

Naomba kuwasilisha.​
 
Huwa sipendi kuchangia mada Kama hizi .

Ila matatizo ya kujichuchua ili uondokane nayo fanya kitu kinaitwa "Thought replacement therapy"

Hii thought replacement therapy -itakufanya uondokane na uraibu wa kujichua .

Na kuhusu nguvu za kiume au kupungua na kuongezeka -haya mambo yapo kisaikolojia zaidi hakuna utafiti wowote kisayansi ambao umethibitisha hilo swala.

Pia Kama unavyojua kuwa kila kitu Kwa kiasi hata chakula ukizisdisha ni hatari the same kujichua n.k .
 
Noted 📌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…