Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Hahahaha Kama namuona vile bwana jiwejiwe anachukua simu janja,analog on JF anakutana na huu uzi,anakunja ngumi kwa hasira na kujisemea "not to this extent," kisha analog off.
Duh .hahahaahPiga mnada malinzote zilizo jengwa kifisadi chato..
How sweet to mention the title ‘rais Membe’.
2020 twende na Membe
Kwa hiyo usingizi wao utaununua weye?Ndoto za asubhi waachieni watoto!