Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majizi si yakamatwe yafunguliwe mashitaka mkuu..Mara hii Membe amekuwa kipenzi wa majizi Chadema wanamsafisha kama walivyofanya kwa Lowasa
Huyo membe atapitishwa na kamati ipi ya CCM ili aweze kugombea?
Ambayo mwenyekiti wake ni JPM?hiyohiyo unayoijua wewe
Kupitia chama gani?Ni wazi hakuna asiyejua awamu ya tano ilivyo tufikisha....
Twendeni na Membe aweze kutatua yafuatayo
1. Mdororo wa kiuchumi
2. Diplomasia iliyoko ICU
3.Democracy na utawala bora
4.uhuru wa kutoa maoni
5.Mazingira yasiyo rafiki kwa wafanya biashara
6. Mauaji na utekaji
7.
Ongezea kwa kadri unavyoona
2020 twendeni na Membe
Hata akienda kwa Hashim Rungwe.. Kwani lazima awe CCM? Kikubwa ni kupata hackers wazuri tu waiingilie systm ya NEC basi.Kupitia chama gani?
Kupitia chama gani?
OkHata akienda kwa Hashim Rungwe.. Kwani lazima awe CCM? Kikubwa ni kupata hackers wazuri tu waiingilie systm ya NEC basi.
Huyu anaesema twende na membe ni chizi kabisa mijitu mengine ipo tu hapa duniani anamjua membe yeye au anamsikia tu
Dj yuko segereaVipi kwa upande wa Chadema?