Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Huyo membe atapitishwa na kamati ipi ya CCM ili aweze kugombea?
 
Ni wazi hakuna asiyejua awamu ya tano ilivyo tufikisha....
Twendeni na Membe aweze kutatua yafuatayo
1. Mdororo wa kiuchumi
2. Diplomasia iliyoko ICU
3.Democracy na utawala bora
4.uhuru wa kutoa maoni
5.Mazingira yasiyo rafiki kwa wafanya biashara
6. Mauaji na utekaji
7.

Ongezea kwa kadri unavyoona
2020 twendeni na Membe
 
Membe ni mwanachama wa kawaida atakuaje tishio kwa mwenyekiti, mwenye mamlaka ya kumfuta uanachama
 
Ni wazi hakuna asiyejua awamu ya tano ilivyo tufikisha....
Twendeni na Membe aweze kutatua yafuatayo
1. Mdororo wa kiuchumi
2. Diplomasia iliyoko ICU
3.Democracy na utawala bora
4.uhuru wa kutoa maoni
5.Mazingira yasiyo rafiki kwa wafanya biashara
6. Mauaji na utekaji
7.

Ongezea kwa kadri unavyoona
2020 twendeni na Membe
Kupitia chama gani?
 
Back
Top Bottom