king suleman
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 1,749
- 1,149
Nna uhakika unaugua sio bure,Kikosi cha Membe kiko mafichoni. Wanafanya mambo yao kwa umakini mkubwa. 2020 Jiwe hana chake. Ni lazima arejee Chatou akalime viazi vitamu. Nchi haiwezi kuongozwa na kiongozi katili asiyejali utu kama huyu. Watanzania tumechoka kuonewa na huyu mporipori.