Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Ufipa huwa hamuachi kuota mnavuka mto mara..lissu hamumtaki tena huko chadema?
 
How sweet to mention the title ‘rais Membe’.

2020 twende na Membe
huu upepo umekutwaa kirahisi mno Bibie Ngoma bado nzito! na huwenda ni mchezo wa kisiasa tu TUWE NA AKIBA YA MANENO
 
Hakika mkuu jiwe anacheza na great thinker aswaaa tena wa kiwango cha PHD na ule ukilaza wa kukurupuka wa kushauriwa na kina bashite ategemee kupigwa knock out.
 
Membe dini gani? Kabla sijasema chochote
 
Shukurani kwa maelezo maana wengine na mie ya haya ya chama chao na Membe tunayasoma tu.. kuwaelewa nini haswa kinawasukuma kupiga ramli sana siku hizi na ni wao kwa wao wa ndani ya chama chao.

Kingine ni zile pesa walizoea pia kutumbua hawazioni tena.. matumbo motoooo..

JPM labda nae anatimu humu na kwingine.. inabidi washambulie kuwashushua kwa kuwajibu inavyotakiwa kwa nondo.. maana wanayoandika timu Membe kuvutia watu.. yanaweza pingika kirahisiiiii na kufanya watu wasivutiwe nao.

Na kumpaisha JPM kwa sanaaaaaa
 
Mkuu Mshana Jr kwa jinsi nchi ilivyo sasa ni heri tukarudi tu Misri hata kama Membe anaonekana anamguu mdogo kuliko viatu vyetu, yaani kama tu vile Mkwere alipofanya ile potelea mbali liwalo na liwe na kuamua kumzawadia KITI bwana Jiwe kuliko Mamvi basi na sisi wengine tunasema potelea mbali liwalo na liwe Membe atatutoa porini.

Ila tuwe makini tunaenda kwenye uchaguzi mgumu labda kuliko hata ule wa 2015, watu wengi sana watapoteza maisha maana kumbuka haiba ya weji na DAB ilivyo, ni watu ambao wanaamini zaidi ktk kupoteza na kufuta kabisa.

Mungu atutangulie.
 
Hamkuyataka haya na mlipokua mnaombea nchi ichukuliwe na jeshi si mngeyapata zaidi ya haya? na vile vile mlivokua mnaombea kua bora itokee vita ndo akili itakaa sawa leo hii si ingekua vilio vya hali ya juu? Kwa ninavowafahamu watanzania wenzangu tutakua tunapiga porojo za kufurahisha baraza tu kwani sisi ni wanafiki wa kiwango.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…