Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Wanachokifanya watu wachache ambao wanazusha skendo kuhusu membe wanajaribu kumbomoa kisaikolojia ili kama alikuwa na nia hiyo aseme kama ambavyo kichwa cha habari kimesema.

Watu wanasiasa sana.
 
Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka 3 hakuna ongezeko la mishahara na maslahi yenu yanazidi kukandamizwa.
 
Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka 3 hakuna ongezeko la mishahara na maslahi yenu yanazidi kukandamizwa.
 
Haya mambo tunayoyafanya Watanzania MATOKEA yake tutayaona, huu mgawanyiko sijui nani atauponya, mipasuko yote huanza kwenye mambo madogo madogo na mwisho wake chuki kamili. Lengo nini hasa? Masilahi? Kyala atutuuleghe
 
Haya mambo tunayoyafanya Watanzania MATOKEA yake tutayaona, huu mgawanyiko sijui nani atauponya, mipasuko yote huanza kwenye mambo madogo madogo na mwisho wake chuki kamili. Lengo nini hasa? Masilahi? Kyala atutuuleghe
 
Akiwa anajiamini kwa lugha ya utulivu amenukuliwa akisema 2020 Ni ikulu tu.

Katiba ya ccm inaruhusu mwanachama wake kuomba kura za wanachama kupewa ridhaa ya kupeperusha bendera kila baada ya miaka mitano ,,!

2020 mwenyekiti na Rais Magufuli atapata upinzani haitakuwa free ride Tena

Kina Membe wamejipanga kumtoa kwa kura halali za wanachama wa chama !

Wasiwasi unaomfanya Katibu mkuu wa ccm kuweweseka Ni baada ya wao kuwasukuma mbali wakongwe na maguru wa siasa za ccm !

Wakongwe wamejipanga haijawahi tokea

Mbali na Membe kundi hili Lina hidden weapons nyingi tofauti na ilivyokuwa kwa Lowassa alikuwa Ni yeye tu !

Kina Membe Wana options za watu zaidi ya sita na wanne wapo ndani ya Utawala wanajua mmoja anaweza kufanyiwa zengwe ila option zingine zitakuwepo ,.

Pamoja na kujipanga kwa wagombea kundi hili linajua fika mwenyekiti anaweza kutumia ubabe kwenye kura za maoni ikitokea hivyo wanapasua chama vipande vitatu

Wana ushawishi ila kubwa wafadhili wote wa ccm wapo kundi hili

Fedha sio shida

Kuna kundi kubwa la wabunge wakuu wa mikoa , DC, na kurugenzi wamekalia kuti kavu
Kwani kwasasa sio sera Tena Bali Ni jinsi wakubwa wanavyo kukubali hizi figisu linalifanya kundi la akina Membe kuwa na nguvu ya tsunami

Mpasuko uliopo ccm kwasasa Hakuna anayeweza kumaliza

Kwani tetesi zinasema ile machine ya ccm yote ipo na Membe na baadhi ya maraisi wastaafu
Yajayo Ni burudani
 
Tunashindwa kuamini kwamba hao jamaa ni vibaraka wa Membe kama unavyosema,lkn tuna uhakika kwamba wewe mleta uzi ndiye kibara mkuu wa utawala wa awamu ya 5,na unafanya kazi yako ya ukibaraka vizuri kama ulivyoagizwa na bosi wako
 
Umeandika ushuuzi mtupu
TWENDE NA MEMBE 2020
 
mm kuna vitu sielewi??

kwan ni dhambi membe kuwa na nia ya kugombea 2020

akiamua kuanza kujipanga?? tatzo liko wap??

dhambi hao kina jusa kupiga nae pic muda huu??
 
Kwi kwi kwi kwi kwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…