Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Embu eleza sababu nzito why hafai.
Hana akili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Embu eleza sababu nzito why hafai.
Ahhh wapiKwani nyie Fisiemu si ndo mmemchoka Jiwee au???
Hana akili.
nina hakika anacho cheti cha kuzaliwa,hakubebwa mgongoni na mama yake kuingizwa Tanzania na nina hakika atafutilia mbali sheria ya kudhulumu wastaafu,nina hakika pia atwekeza kwenye welfare ya watu kuliko majengo na ndege,nina hakika atakuwa Rais sio waziri wa ujenziUna uhakika hana asili ya Malawi?
Bora tuwe na rais KIAZI lakini sio rais JIWEMakamanda wana bore sana na hawajiamini. Yaani wanataka Kiazi na Kilaza kama membe awe rais wa Tanzania? Wanataka na makamba awe rais.... Jamaa wapo so desperate na stressful.
Membe hana akili nashangaa wanaolazimisha kudai ni jasusu mbobezi. Sijui kabobea kwenye nin ikiwa hata ukimsikiliza tu unamwona ni kilaza. Kwa style hii naona bora magufuli aendelee kuwa rais kuliko kumfikiria mtu bomu kama membe.
Kazi na bataHatumtaki Maembe
nina hakika anacho cheti cha kuzaliwa,hakubebwa mgongoni na mama yake kuingizwa Tanzania na nina hakika atafutilia mbali sheria ya kudhulumu wastaafu,nina hakika pia atwekeza kwenye welfare ya watu kuliko majengo na ndege,nina hakika atakuwa Rais sio waziri wa ujenzi
Kwa kweliHatumtaki Maembe
Nyie makamanda nyie, mko desperate sana nyie.
Eti mnamtaka Membe ndo awe rais 2020.
Rais John Pombe Joseph ‘Jiwe’ Magufuli ni bora mara 100 kuliko huyo Membe wenu.
Acheni masikhara bana. Membe ni bomu kabisa. Bomu kushinda hata Magufuli.
Kuna mtu, ni Rutashubanyuma nadhani, aliwahi kusema Membe ana ‘limited brain power’.
Hiyo ni kweli kabisa. Afadhali hata Magu yeye tunajua na yeye mwenyewe anajua kuwa hajui Kiingereza.
Lakini huyo Membe wenu, awe anaongea Kiingereza chake cha pre-school au hata Kiswahili chake, anaboa kupita maelezo halafu ni kama analazimisha aonekane ana akili nyiiiiingi wakati hana lolote.
To hell na huyo Membe wenu.
Roho mbaya anayo mwenyekiti wako jiwe walahiDignity ya makamanda uchwara iko wapi?
Ule upuuzi aliyo fanya bosi wao kuruka dhamana ndio wao wanaurudia kwa style nyingine
Ulofa na umaskini na roho mbaya ni kitu kimoja
LAZIMA MTU UJITHAMINI HAPA DUNIANI
SIO LIKITU LA KUPEPERUSHWA NA KILA MWENYE PESA AKUNUNUE TU
AIBU TENA NI AIBU KUBWA MAKAMANDA
HAKIKA MMEJISHUSHA HADHI VIBAYA SANA
MtumeeeUna uhakika hana asili ya Malawi?
makamanda si wamchague haongoze chama
Ukiona hivyo mbovu ,kama vile ccm wanavyoshadadia mbowe aachie uenyekiti kwa kuwa ni mwiba kwaoSiasa za Tanzania bhana
Wapinzani wanampigia kampeni mgombea wa chama tawala
Mtumeee
DuhMnyasa yule...
Nyie makamanda nyie, mko desperate sana nyie.
Eti mnamtaka Membe ndo awe rais 2020.
Rais John Pombe Joseph ‘Jiwe’ Magufuli ni bora mara 100 kuliko huyo Membe wenu.
Acheni masikhara bana. Membe ni bomu kabisa. Bomu kushinda hata Magufuli.
Kuna mtu, ni Rutashubanyuma nadhani, aliwahi kusema Membe ana ‘limited brain power’.
Hiyo ni kweli kabisa. Afadhali hata Magu yeye tunajua na yeye mwenyewe anajua kuwa hajui Kiingereza.
Lakini huyo Membe wenu, awe anaongea Kiingereza chake cha pre-school au hata Kiswahili chake, anaboa kupita maelezo halafu ni kama analazimisha aonekane ana akili nyiiiiingi wakati hana lolote.
To hell na huyo Membe wenu.
kaka wewe kabebe boksi hujui hali halisi iliyoo huku bongo,hali ni mbaya mnoUna uhakika anacho eeh?
Kiweke basi hapa.
roho ya ben saa nane nayo inadai haki yakeRoho ya Ghadafi nayo imeamka inadai $20m zake ambayo membe alitakiwa kujenga kiwanda cha cement Lindi
Duh jamaa lina daiwa mpaka na wafu
Haya kesi hiyo Takukuru ingieni kazini
Mahakama Kuu jipangeni
Kwani Membe ametangaza, mbona hofu imewatawala,No Maembe 2020!