Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Una uhakika hana asili ya Malawi?
nina hakika anacho cheti cha kuzaliwa,hakubebwa mgongoni na mama yake kuingizwa Tanzania na nina hakika atafutilia mbali sheria ya kudhulumu wastaafu,nina hakika pia atwekeza kwenye welfare ya watu kuliko majengo na ndege,nina hakika atakuwa Rais sio waziri wa ujenzi
 
Bora tuwe na rais KIAZI lakini sio rais JIWE
 
Roho ya Ghadafi nayo imeamka inadai $20m zake ambayo membe alitakiwa kujenga kiwanda cha cement Lindi
Duh jamaa lina daiwa mpaka na wafu
Haya kesi hiyo Takukuru ingieni kazini
Mahakama Kuu jipangeni
 

Una uhakika anacho eeh?

Kiweke basi hapa.
 

makamanda si wamchague haongoze chama
 
Roho mbaya anayo mwenyekiti wako jiwe walahi

That's all walahi
 
To hell na Membe wao


 
Roho ya Ghadafi nayo imeamka inadai $20m zake ambayo membe alitakiwa kujenga kiwanda cha cement Lindi
Duh jamaa lina daiwa mpaka na wafu
Haya kesi hiyo Takukuru ingieni kazini
Mahakama Kuu jipangeni
roho ya ben saa nane nayo inadai haki yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…