Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Benard Membe for presidency.. Mkombozi wetu, mwanadiplomasia nguli.
 

Mkuu hili tushaliona, hapa ni Membe tu
 
Umenena vema mkuu. Nchi hii kama ingekuwa chini ya uongozi wa Dr Benard Membe wananchi tungekuwa na maisha mazuri sana. Na kusingekuwa na utekaji na upoteaji wa watu tunaoushudia katika awamu hii.
 
Huu uchuro sijui utaisha lini! Nafikiri mngemuacha Bwana Mkubwa atulie amalize Miaka yake kumi alete maendeleo anayotaka ndo muanze amsha amsha! Si kila mtu amejaaliwa kuwa kiongozi wa nchi si mtulie mkubali matokeo kama White hairs, mimi napambana kuipaka rangi my family mbona naridhika kuongoza family tu hadi mwanangu mdogo nishampandisha ndege akatua Europe na English medium wanadunda ! Kuongoza watu maskini wa mali na roho ni kitu kigumu sana!
 
Kuongozwa na Jiwe pia ni laana....masuala huwa hayafanikiwi....Mtwara tunalimia meno Korosho zetu...
 
Jiandaeni kurudi kijijini, tunataka MTU mwenye exposure, mwenye vision, Na sio mafundi wajifunzao kupiga Bati.
magufuli 2020 wala hatajisumbua kupiga kampeni anakaa tu kwenye tv anasema leo naongea na watu wa mwanza basi tunashinda kiulainiiiiii asubui tu
 
Hata mchujo wa ccm tu atopita ndo sembuse Kwa watz,Kwa lipi jema alilowafanyia watz
I wish siku jaji lubuva akianza kutangaza matokeo uwe pembeni yangu niwe nimekushikilia ha ha ha ha ha
 
I wish siku jaji lubuva akianza kutangaza matokeo uwe pembeni yangu niwe nimekushikilia ha ha ha ha ha

Kwa kubebwa labda nje ya jitihada binafsi hawezi akashinda kwenye eneo lolote si Kwa Hoja,siasa, uchumi, biashara, nk hawezi ushindani.
 
Labda ungeniambia jaji Warioba au jaji Agustino Ramadhani sawa hawa wengine woote ni kwa ajili ya matumbo yao na sio kwa maslahi ya watanzania
 
I wish siku jaji lubuva akianza kutangaza matokeo uwe pembeni yangu niwe nimekushikilia ha ha ha ha ha
#9
Faida kuu endapo watz wasipofanya kosa tena.Mwambie jirani yako usifanye kosa tena#
_Wasiojulikana awatokuwapo tena
_Demokrasia itarudi
_Ajira zitaongezeka watu watawekeza sana
_Bungelive
_Uhuru wa vyombo vya habari tena
_Bureau de change zitarudi
_Biashara zitafufuka
_Kilimo kitafufuka
_Furaha yetu itarudi
_Umoja wa kitaifa itarudi
_Biashara zilizokimbizwa nje zitarudi
_Kodi haitakuwa komozi
_Ndoa zitaimarika sababu ya uchumi mzuri
_Miji itakuwa Kwa kasi sababu uchumi kukua
_Diplomasia itarudi mahali lake
_Wageni wataongezeka
_Mishahara Na vyeo vitapanda
_Wapinzani watakuwa huru.
_Wafungwa wa uonevu wataachiliwa
_Makusanyo ya kodi yataongezeka
_Wasiojulikana kuishia jela
_Waunga juhudi kukaa benchi.
_Misaada itaongezeka
_Heshima yetu itarudi tena
Hizi ni faida Kwa uchache
 
 
Mh Membe Atuakikishie pia kupata katiba mpya na tume huru ya uchaguzi sisi tulohapa kutopiga kura tena tutajiandikisha na kumpa kura kwa mamilioni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…