Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Mbona thread za Membe some kiss nyingi humu JF? Kumbukeni Kanuni za uchaguzi za CCM, hukusu kuanza kampeni mapema. Kama mnampenda Membe acheni kuweka hizi thread. Asije akawekwa BENCHI kama Fulani.
 
Membe atosha!

Sababu kuu za kwenda na Membe

1. Amejiandaa kuwa rais
2. Ni jasusi aliyebobea anaijua nchi nje ndani
3. Ni mwanadiplomasia mkomavu anajua kucheza na siasa za kimataifa, atasaidia sana kushawishi wawekezaji
4. Ni mstaarabu, mpole na mwenye kupiga hesabu kwa kila hatua
5. Ana akili nyingi sana, ana First class chuo kikuu, hivyo ana IQ kubwa sana
6. Hatoumiza wapinzani, kuwanunua kwa sababu anaamini katika siasa za hoja na maswala.

Cammilius 2020 Atosha
Yes He Can!
 
Nàona ccm wanaanza kutwanagana wait kwa wao , huo ndio mwanzo wa anguko,

Namshauri magufuri afanye haya kabla na baada ya 2020

1.. hakikisha wajumbe wa NEC ya ccm wawe upande wako kwa asilimia kubwa Kama alivyokuwa amejipanga lowassa

2.. hakikisha sehemu nyeti za ccm na serikali zinashikwa na watu wako

3.. hakikisha hakuna mpinzani atakayepita uchaguzi wa 2020

4.. hakikisha ubunge wa ccm unakuwa wa wale walio upande wako,

, wale wanaokupinga au Wana dalili hizo wafyekelee mbaalii

5... Kwakuwa miradi ni mingi yenye manufaa kwa taifa , fanya mapinduzi ya katiba ili uwe na mda wa kuyamaliza
 
Haaa haaa yani siku so nyingine TCRA wanaifunga hii JF baba Jessica sidhani kama anapenda hii mijadala kwa sasa
 

Siungi mkono hujuma dhidi ya kiongozi aliyeko madarakani. Namkubali kwa sasa kwa sababu ni rais wangu.

Nakukumbusha tu lolote lawezekana ikiwapo nia....na kamwe usichezee nguvu ya umma.

Jifunze kwa yaliyotokea Libya, Misri na kwingineko.

Watanzania tumpe support kiongozi aliyeko madarakani kutimiza ahadi zake.


Hata kukosoa nako kunasaidia kuyatambua madhaifu yetu
 
humjuwi Membe vizuri wewe.
Tunachojua mpaka sasa yeye ni Mwana CCM. CCM inautaratibu wake wa kupata wagombea kwenye ngazi zote, na utaratibu umekua ukitumika miaka yote na unajulikana na wana CCM na hata wasio CCM. Hata 2020 utaratibu utafuatwa kama kawaida.

Hatumjui Membe kwa lipi? Labda wewe ndio humjui. Amefanyakazi na serikali ya CCM kwa kipindi kirefu, utendaji wake tuliufahamu hata kabla ya uchaguzi wa 2015, na hata sasa bado tunaufahamu. Wana CCM, pamoja na yeye Membe alikua anafahamu utendaji JPM na naamini hata sasa anauona na anaukubali utendaji kazi wa Mwenyekiti wa Chama.

CCM kwa sasa inapambana jinsi gani italeta maendeleo kwa wananchi wake. CCM haina uchaguzi wa mgombea wa u-Rais 2020, tayari yupo. Uchaguzi wa Rais ni 2025.
 
Hawa machandrama makalio yana washa wanammzea mate babu Membe , uwiii chadrama mmeoza kweli kweli walahi
Pathetic DNA walahi
UHARO NAFASI YAKE NI CHOONI.....NA KULE KWENU HUPELEKWA VICHAKANI....WASHIRIKA NA TUMBILI !!
 
Hizi ndoto Zitawapotezea muda
naona unaandika kufurahisha kijiwe tu
moyoni mwako unajua Never Ever
 
Watanzania ni wanafiki sana,eti wanajifanya kuwa hawajui kuwa mtu mwenye maamuzi ya nani awe rais kwenye nchi hii ni CcCM na wala siyo wao!!......kura huchakachuliwa,kura huibiwa,mizengwe hutumika na policeccm hutumika pia kufanikisha hilo na sisi Watanzania hutulia kimya kama maji kwenye mtungi!!
 
Hahahahaaa...kwa nini watu mnaangaika na uongo, nani haijui ccm kuwa ni miaka 10., mnatuletea uongo utagikir hatuishi Tanzania na hatuujui uraratibu wa ccm, nyuzi zingne zimezidi uongo, hebu leteni story zongine tujadiliane hii ilishabuma, hata muilembeje, hlf wa kuilemba eti ni wapinzani, duh? Hadi wewe pia mkuu
 
Mkuu tuko pamoja lkn kuna kitu ambacho naona tunadanganyana sana sometimes.Ngoja nikuulize maswali kidogo.

Hivi Mange si alihamasisha hizo nguvu za umma/maandamano mbona hamna kitu kilitokea watu tukaufyata mkia full kujifungia ndani?

Hivi Kuna mtu alitikisa 2015 kama Lowassa mbona babu Lubuva akivyofanya yake tukaufyata kimyaa tena,hakuna cha nguvu za umma wala nini.

Sugu walimfunga,Lema walimfunga lkn nani alijitokeza kuleta hio nguvu ya umma?

Libya,Misri,Tunisia huko kote ni wamarekani+Nato yao ndio waliochochea hayo kwa mgongo wa Nguvu za umma.

Tuombe uzima lkn kiukweli hakuna wa kumchallenge Magu 2020,huo ndio ukweli mchungu.
 
Dah.. kama ana IQ kubwa ....basi mtamla kwa shida sana....siyo kirahisi kama ENL [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wamemharibia kabisa mkuu, yani kwa ccm ndo asahau, ccm haijawah kuchagua/kuteua mtu wa project, 2025, haitafika yuko ccm na kata akiwepo hatokuwa na nguvu hata ya kuchukua form, hawa aliowatuma mitandaoni ndo wamemmaliza kma Lowassa alivyo haribiwa.
 
Wte wanaongelea hpa membe ni wa chadema, kma mleta uzi, sasa nashangaa, wanataka kuijenga ccm badala ta chama chao, kwa maana hiyo wameshakata tamaa na chama chao?
 
Kwa sasa mtasababisha azam kwenye kampeni mapema maana si kwa presha yule baba japo hata sasa wenzetu wako kwenye kampeni tangu uchaguzi uishe.
 
Wamemharibia kabisa mkuu, yani kwa ccm ndo asahau, ccm haijawah kuchagua/kuteua mtu wa project, 2025, haitafika yuko ccm na kata akiwepo hatokuwa na nguvu hata ya kuchukua form, hawa aliowatuma mitandaoni ndo wamemmaliza kma Lowassa alivyo haribiwa.
Shida wajomba hawataki kuambiwa ukweli,sasa Membe ana influence gani kuanzia kwa watu wa kawaida mpk huko majeshini(Sirro,Mabeyo,Kapilimba),hahah mzee wa watu mtampa saaaana nakwambia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…