Ndio maana kwa mawazo haya ya upinzani, CCM kuitoa madarakani itakua sio mchezo rahisi.
Magu ndiye Mwenyekiti wa CCM,Amiri jeshi mkuu,"sponsor mkuu",Anateua mwenyekiti wa tume ya uchaguzi etc na kwa mujibu wa katiba hii ya sasa he's the most powerful man in the country.
Sasa huyo Membe unayemsema sijui ana nini cha kumfanya awe powerful kiasi cha kumteteresha Magu?usije ukaanza kusema ooh sijui ni "spy master" maana ndio story zenu za gahawa.
Simtetei Magu lkn huo ndio ukweli na sanasana hizi thread zinampa Membe tabu sana huko aliko,2020 tuombe uzima hakuna wa kum challenge Magu sanasana tuwaze 2025 kama atakubali kutoka madarakani.