Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Mnazan mabadiliko aliyoyafanya na anayoendelea kuyafanya yatamruhusu membe hata kuchukua fomu?.... MARK MY WORD MAGUFULI KWA UBABE ATAPITA BILA KUPINGWA NDANI YA CCM,, HAKUNA MWANA CMM ATAKAE CHUKUA FORM
Wenye chama wana akili, uwezo na nguvu kuliko huyo jiwe, wanamuangalia tu jinsi anavyorukaruka na ubabe wake...
 
Unajua naishangaa hii mijitu.
Wanashangaza sana...


Mjadala huu hata sijui umetokea wapi..maana tangu juzi Membe anatajwa sana huu. Nafikiri kuna kambi imevurugwa huko Lumumba.

Wacha tuwaone.
 
Membe 2020
Yes he can!

Cammilius Songa mbele mzee baba
Kosa siyo kufanya kosa
Kosa ni kurudia kosa!

Cha maana utuonyeshe kuwa kweli unautaka uraisi
Na uwe jasiri kuchukua fomu
The rest atuachie sisi wananchi!
Dah...wananchi gani mkuu? Hawa waliotaabika miaka 3 nyuma? Au Hawa wanaotaabika kwa miaka 3 sasa?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kanda inayotoa rais miaka yote ni kanda ya ziwa usijipe moyo. Ni maumivu
 
Kwanini salaam za Membe ni muhimu? Membe alisema amemmiss nani hasa? JF au?
 
Hahaha baelezee. Hans Kitine jabari
 
Simpendi Jiwe ila hakuna wa kumzuia kurudi Ikulu 2020 Tuwe wapole tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…