Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Mnazan mabadiliko aliyoyafanya na anayoendelea kuyafanya yatamruhusu membe hata kuchukua fomu?.... MARK MY WORD MAGUFULI KWA UBABE ATAPITA BILA KUPINGWA NDANI YA CCM,, HAKUNA MWANA CMM ATAKAE CHUKUA FORM
Wenye chama wana akili, uwezo na nguvu kuliko huyo jiwe, wanamuangalia tu jinsi anavyorukaruka na ubabe wake...
 
Membe 2020
Yes he can!

Cammilius Songa mbele mzee baba
Kosa siyo kufanya kosa
Kosa ni kurudia kosa!

Cha maana utuonyeshe kuwa kweli unautaka uraisi
Na uwe jasiri kuchukua fomu
The rest atuachie sisi wananchi!
Dah...wananchi gani mkuu? Hawa waliotaabika miaka 3 nyuma? Au Hawa wanaotaabika kwa miaka 3 sasa?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hivi katiba ya chama chini ya mwenyekiti huyo huyo haiwezi kumuondoa mwenyekiti???

Ungekuwa pia una muelewa Membe vizuri kindaki ndaki ungeona kuwa membe ni zaidi magu. Missions zake ni za hatari... Viongozi wenyewe wana fahamu... Magu Ana fahamu... Ni mkimya mwenye hatari ndani yake...

Nisimuongee Sana... Subirini kamati kuu ya wana pwani na kusini... Ndipo utajua msukuma Ana nguvu... Au Kama maneno yasemayo msukuma msukume arudi kwao mwanza...

Stay there bro... Usiwe na haraka... Hakuna linalo shindikana chini ya jua...
Kanda inayotoa rais miaka yote ni kanda ya ziwa usijipe moyo. Ni maumivu
 
Kwanini salaam za Membe ni muhimu? Membe alisema amemmiss nani hasa? JF au?
 
Teh teh ana nguvu gani sasa?hizo mission za hatari unazosema zilizoshindwa kumfanya akavuka ndani ya CCM 2015 ni zipi tena rafiki yake kipenzi JK akiwa mwenyekiti wa CCM.

Kama angekua na hizo mission za hatari unazosema kwaninihao hao TISS hawakumpigania mpk atoboe kwny michuano instead akapigwa chini kama kawa.

Membe hata kwa ubavu na lowassa kwny mikakati hamuwezi hata kidogo,cheki Lowassa baada ya kapigwa chini na CCM kumbe ana plan B yake kwenda CDM fasta tu wkt Membe yeye yuko Mtama huko.Huyo mtu unamsifiaje ni mtaalam wa strategy?

By the way mtasalimia Mzee Hassy Kitine nadhani unanielewa hapa.

Hio kamati kui ya pwani na kusini inakaa lini ili nije nikukumbushe hapa.
Hahaha baelezee. Hans Kitine jabari
 
Simpendi Jiwe ila hakuna wa kumzuia kurudi Ikulu 2020 Tuwe wapole tu
 
Back
Top Bottom