Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Mkuu hizo ni fitina unamfundisha mkuu
 
Mmetumwa kupima upepo humu,sio bure! Au mnaona kasahaulika eeeh! Mwambie atulie,uongozi kupokezana vijiti!
Toka mfumo wa vyama vingi uanze. Upinzani ndani ya ccm kumpinga rais aliyeko madarakani upo.mwaka 2000 bwana Mnasa kutoka Musoma alichukua form kumpinga mkapa, 2010 Magere Shibuda alimpinga JK.so hata BCM ajitutumue nayo yatapita
 
Mimi nimekutana na hili JABALI la siasa. Linawatakia mchana mwema.
 
Dah...kuchanganya mapenzi ya kweli ya nchi na huyu jamaa ni kuitusi Tanzania...[emoji41]
Unajua kunajamaa anasura kama yako huko kijijini kwao Lufindo mkoa wa geita baada kupibwa X-ray ya kichwa madokta walipigwa na butwaa sana baada kugundua jamaa hana Ubongo mbaka leo anaishi na ni memba wa JF anajiita Roho mbaya sijui ana maana gani nadhadha ana maana rohonzuri,ila wale madokta wanastahili pongezi baada kuukosa ubongo wakashindilia ugali wa uwele.
 
Daaa Kumbe anaweza asikubali?
 
Una ajili sana. Nimefurahia komenti yako: "... na sanasana hizi thread zinampa Membe tabu sana huko aliko..."
Wameache apumzike mtu wa watu, kwa alivyoanguka akiwa na sapoti ya Rais, ataweza kurudi eti kwa sababu kuna baadhi ya wana-CCM hawampendi Magufuli?
Unawafahamu kweli Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa, achilia mbali ile composition ya Kamati Kuu?
Fuatilia Kamati Kuu uone kama kuna sura ya kumuona Membe kama mbadala ifikapo 2025.
 
Naona membe ana trend sana humu jf πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mbona Membe ndiye domokaya kabisa. Kuna sehemu yoyote ya hotuba ya Membe ulishamuona Membe ameongea kitu chochote cha kukufanya umtofautishe na wengine wasio na sifa?
Kama alishindwa kuitumia nafasi ya zamani, hana tena ubavu huo.
Mbaya zaidi ni kuwa, Magufuli ameshatengeneza Kamati Kuu yake ambayo ni loyal kwake tofauti na Kikwete aliyezidiwa kete na Lowassa ambaye alifanikiwa kuingiza watu wake wengi kwenye Uchaguzi wa Chama mwaka 2012, kuanzia si kwenye Mkutano Mkuu na Halmashauri Kuu tu bali mpaka kwenye Kamati Kuu.
Mtasubiri sana.
 
Sio rahisi kutokana na mizizi ambayo ccm imejichimbia na serikali.Serikali hii ni Tukufu haifanyi makosa na hata ikifanya hakuna wa kuiwajibisha.Jeshi,Nec na wananchi wote wanaiogopa serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…