Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Nàona ccm wanaanza kutwanagana wait kwa wao , huo ndio mwanzo wa anguko,

Namshauri magufuri afanye haya kabla na baada ya 2020

1.. hakikisha wajumbe wa NEC ya ccm wawe upande wako kwa asilimia kubwa Kama alivyokuwa amejipanga lowassa

2.. hakikisha sehemu nyeti za ccm na serikali zinashikwa na watu wako

3.. hakikisha hakuna mpinzani atakayepita uchaguzi wa 2020

4.. hakikisha ubunge wa ccm unakuwa wa wale walio upande wako,

, wale wanaokupinga au Wana dalili hizo wafyekelee mbaalii

5... Kwakuwa miradi ni mingi yenye manufaa kwa taifa , fanya mapinduzi ya katiba ili uwe na mda wa kuyamaliza
Mkuu hizo ni fitina unamfundisha mkuu
 
Mmetumwa kupima upepo humu,sio bure! Au mnaona kasahaulika eeeh! Mwambie atulie,uongozi kupokezana vijiti!
Toka mfumo wa vyama vingi uanze. Upinzani ndani ya ccm kumpinga rais aliyeko madarakani upo.mwaka 2000 bwana Mnasa kutoka Musoma alichukua form kumpinga mkapa, 2010 Magere Shibuda alimpinga JK.so hata BCM ajitutumue nayo yatapita
 
Mimi nimekutana na hili JABALI la siasa. Linawatakia mchana mwema.
tapatalk_1539713944146.jpeg
 
Dah...kuchanganya mapenzi ya kweli ya nchi na huyu jamaa ni kuitusi Tanzania...[emoji41]
Unajua kunajamaa anasura kama yako huko kijijini kwao Lufindo mkoa wa geita baada kupibwa X-ray ya kichwa madokta walipigwa na butwaa sana baada kugundua jamaa hana Ubongo mbaka leo anaishi na ni memba wa JF anajiita Roho mbaya sijui ana maana gani nadhadha ana maana rohonzuri,ila wale madokta wanastahili pongezi baada kuukosa ubongo wakashindilia ugali wa uwele.
 
Daaa Kumbe anaweza asikubali?
Ndio maana kwa mawazo haya ya upinzani, CCM kuitoa madarakani itakua sio mchezo rahisi.

Magu ndiye Mwenyekiti wa CCM,Amiri jeshi mkuu,"sponsor mkuu",Anateua mwenyekiti wa tume ya uchaguzi etc na kwa mujibu wa katiba hii ya sasa he's the most powerful man in the country.

Sasa huyo Membe unayemsema sijui ana nini cha kumfanya awe powerful kiasi cha kumteteresha Magu?usije ukaanza kusema ooh sijui ni "spy master" maana ndio story zenu za gahawa.

Simtetei Magu lkn huo ndio ukweli na sanasana hizi thread zinampa Membe tabu sana huko aliko,2020 tuombe uzima hakuna wa kum challenge Magu sanasana tuwaze 2025 kama atakubali kutoka madarakani.
 
Una ajili sana. Nimefurahia komenti yako: "... na sanasana hizi thread zinampa Membe tabu sana huko aliko..."
Wameache apumzike mtu wa watu, kwa alivyoanguka akiwa na sapoti ya Rais, ataweza kurudi eti kwa sababu kuna baadhi ya wana-CCM hawampendi Magufuli?
Unawafahamu kweli Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa, achilia mbali ile composition ya Kamati Kuu?
Fuatilia Kamati Kuu uone kama kuna sura ya kumuona Membe kama mbadala ifikapo 2025.
 
Naona membe ana trend sana humu jf 😂😂😂😂😂😂
 
Kwa taarifa yako na hili bandiko lako refu JK alimtaka Membe na kwa sababu ya hiyo nguvu ya Lowassa ndani ya ccm ndio iliyopelekea Magufuli kuitwaa hiyo nafasi. Usitake kumpa JK sifa asiyokuwa nayo. Na huyu Magu na vile hawezi siasa za ushawishi ndio atapigwa chini kirahisi. Huu ndio mwisho wa kikundi cha utekaji na kupiga risasi wengine.
Mbona Membe ndiye domokaya kabisa. Kuna sehemu yoyote ya hotuba ya Membe ulishamuona Membe ameongea kitu chochote cha kukufanya umtofautishe na wengine wasio na sifa?
Kama alishindwa kuitumia nafasi ya zamani, hana tena ubavu huo.
Mbaya zaidi ni kuwa, Magufuli ameshatengeneza Kamati Kuu yake ambayo ni loyal kwake tofauti na Kikwete aliyezidiwa kete na Lowassa ambaye alifanikiwa kuingiza watu wake wengi kwenye Uchaguzi wa Chama mwaka 2012, kuanzia si kwenye Mkutano Mkuu na Halmashauri Kuu tu bali mpaka kwenye Kamati Kuu.
Mtasubiri sana.
 
Ndio maana kwa mawazo haya ya upinzani, CCM kuitoa madarakani itakua sio mchezo rahisi.

Magu ndiye Mwenyekiti wa CCM,Amiri jeshi mkuu,"sponsor mkuu",Anateua mwenyekiti wa tume ya uchaguzi etc na kwa mujibu wa katiba hii ya sasa he's the most powerful man in the country.

Sasa huyo Membe unayemsema sijui ana nini cha kumfanya awe powerful kiasi cha kumteteresha Magu?usije ukaanza kusema ooh sijui ni "spy master" maana ndio story zenu za gahawa.

Simtetei Magu lkn huo ndio ukweli na sanasana hizi thread zinampa Membe tabu sana huko aliko,2020 tuombe uzima hakuna wa kum challenge Magu sanasana tuwaze 2025 kama atakubali kutoka madarakani.
Sio rahisi kutokana na mizizi ambayo ccm imejichimbia na serikali.Serikali hii ni Tukufu haifanyi makosa na hata ikifanya hakuna wa kuiwajibisha.Jeshi,Nec na wananchi wote wanaiogopa serikali.
 
Back
Top Bottom