Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Hizi habari za Membe naona zimekuwa nyingi ,ni either watu wake wanapima upepo au kambi ya maadui wanafanya kitu inaitwa pre-empty. Ila ukimya wa Membe unaweza kuwa na kishindo kikubwa,kikatikisa kusini adi kaskazini,mashariki adi magharibi.
 
Unamwitaji WEWE PEKE YAKO
 
Rais anatoka kwenye baraza la mawaziri..
Hatujawai kuwa Rais kutoka nafasi ya uwaziri mkuu .
Ni mapema sana kuanza kumzushia mzee wa watu habari kama hizi. Yuko busy na uandishi wa kitabu chake.

Si December wala Camillius..!
 
Basi rudisha Taarifa kwa malaika kwamba Membe ni mzigo Tanzania. Anajulikana kwa kula pesa ya Gadafi tu.
 
It will be super mistake membe to be our president. Ni mtu muongo sana na anajulikana ma kila anayemjua ama aliyefanya kazi naye, asiye aminika, na mapungufu mengi sana.
 
Hata sasa mfanye awe rais wa familia yako. Ukishakunywa ukalewa unaanza kuongea mataka taka.... Yaani membe naye awe rais?mitanzania sijui imerogwa na nani...inakosa akili hata ndogo tu za uelewa... Mnataka kutuletea matakataka mengine ikulu? Mnaleta kichefu chefu kwenye mambo ya msingi...hovyo kabisa .. awe rais na mumeo kbisa.wewe na familia yako.umetutukana sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…