Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Mnasumbuka kweli! 2020-2025 ni Magufuli tu. Agalieni marekebisho ya katiba ya ccm. Lakini pia hata wa kwenu akipata 90% na yeye akapata 10% atakayetangazwa na tume ndiye raisi. Tume haina ubavu wa kutangaza mwingine!!!!
 
Ni malaika mwema ameniagiza. Nawaomba wazee wa CCM walione hili na kulitafakari kwa kina.
Nakumbusha tena. Hatupaswi na tusithubutu kuongozwa na mtu mwongo na m-binafsi. Nchi hii inahitaji maendeleo na sio danganya toto!!
 
Naona project MEMBE ina test mitambo....thread zimekuwa nyingi kweli juu ya membe......MEMBE AWE RAISI KWA LIPI..MNAMUWEKA MATATIZONI MZEE WA WATU ana machafu yake mengi tu
 
Back
Top Bottom