Msingida
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,239
- 11,731
Naanzie 2020,25 mbali sanaRais anaefuata ni muislam kama membe ni muislam basi sawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naanzie 2020,25 mbali sanaRais anaefuata ni muislam kama membe ni muislam basi sawa.
Yeye mwenyewe hajaoteshwa?? [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]Ni malaika mwema ameniagiza. Nawaomba wazee wa CCM walione hili na kulitafakari kwa kina.
Nakumbusha tena. Hatupaswi na tusithubutu kuongozwa na mtu mwongo na m-binafsi. Nchi hii inahitaji maendeleo na sio danganya toto!!Ni malaika mwema ameniagiza. Nawaomba wazee wa CCM walione hili na kulitafakari kwa kina.
Hana uwezo huo. Anakuja na yake.Mzuqa
Ni yeye tu sasa hivi ndiye tegemeo letu. Hamna namna LAZIMA awe rais.
Huyu si ndie kiongozi alievunja record ya kusafiri safari nyingi kuliko alizoenda nyumbani kwaoMzuqa
Ni yeye tu sasa hivi ndiye tegemeo letu. Hamna namna LAZIMA awe rais.
Iwe giza iwe nuru. Iwe usiku iwe mchana Membe LAZIMA awe rais kabla 2020Naona project MEMBE ina test mitambo....thread zimekuwa nyingi kweli juu ya membe......MEMBE AWE RAISI KWA LIPI..MNAMUWEKA MATATIZONI MZEE WA WATU ana machafu yake mengi tu
Lakini awe Rais kabla 2020CCM oyee, milele, Membe bado ni CCM!
Huyo siyo rais ni mnyampara wa barabara.Mbona tunae rais wetu mtukufu jiwe aka kichaa?