Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Membe wenu kama mnampenda mnunulieni soda anywe Ikulu hapawezi, ngoma ya kitoto haikeshi.
Ukimlinganisha membe aliyekuwa ofisi ya rais toka mwaka 1975 na huyo mjamaa wako ambae mpk mwaka 1995 hakuwahi kufika posta magogoni nani anastahili kejeli zako

Usimlinganishe membe wa 1975 na MTU ambae mpk Leo toka apewe ufalme anaogopa kwenda nyuyoko London Paris nk
 
Hakuna kama Magu wote mnajua, Kamuulize Mzee Kitine atakuambia, mengine humu sio mahali pake.
 
Habari za muda mabibi na mabwana!

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nawashauri wanachama wenzangu na wananchi kwa ujumla. Mwaka 2020 tusipoteze tena kama ilivyotokea mwaka 2015. Haya yote ni kwa sababu hatukutulia vizuri katika mchujo wa kumpata kiongozi bora.

Karibuni kwa maoni yenu.
Membe hana madhara kwa sasa,anywe kahawa tu,Urais sio kila mtu anaweza kuupata
 
Kwakweli WanaJF tujaribu kuwa na kiasi angalau kuhusu hili la Mzee Membe. Kulingana na mwenendo wa hali ya kisiasa hapa nchini kitu kikimkwaza 😵huwa anaonesha wazi kuwa huyo anayewavutia wengi ni kikwazo kwake katika mikakati yake ya kulazimisha kukubaliwa na hadhira yake. Kwasababu hii tu, naomba tuwe na kiasi kuhusu Membe tutamchonganisha na 😵 pia tutawasababishia wa Kusini kutengwa kimoja kama Mbeya...
Aliekuambia Mbeya wametengwa nani
 
U
Habari za muda mabibi na mabwana!

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nawashauri wanachama wenzangu na wananchi kwa ujumla. Mwaka 2020 tusipoteze tena kama ilivyotokea mwaka 2015. Haya yote ni kwa sababu hatukutulia vizuri katika mchujo wa kumpata kiongozi bora.

Karibuni kwa maoni yenu.
Upinzani ndani ya CCM. Mtasabababisha Jiwe azime mitandao yote ili mkose pakukutania na kupanga njama za kumpindua.
 
Mkuu vitu vingine unapaswa utafakari sana. Hivi unadhani kwamba Raisi Magufuli kama Mwenyekiti wa CCM atajiweka kwenye mazingira ya CCM kuteua mgombea wa CCM mbadala wake? HUyu Magufuli ninayemfahamu au mwingine? Au hujaona tayari ameshajiwekea mazingira kwamba hilo lisiwezekane hata kidogo?
Wajumbe wa kamati kuu na mk7tano mkuu kashaweka watu wake.
 
Brothers and Sisters.

We wanted Bernard K Membe to be handed power peacefully before 2020 but due to the respect and adherent of constitution we had no choice but to wait for those two years which is like ages.

So we are just putting this clear that there should be a smooth transion of power to Membe 2020. This should be done peacefuly with utmost public trust.

Our nation is in turmoil as if there no one there to manage. Everything is going down politically, economically and socially. There is meltdown in everything because of mismanagement.

We need a presidential material who will bring back the faith and trust of Tanzanians. Who will fight the just cause of economic stability in every aspect of national interest.

And there is no one can do all these except the undisputed intelligence officer and charismatic, smart and brilliant diplomat BERNARD KAMILLUS MEMBE.
Tatizo hamfatilii mambo,Katiba ya CCM ilishabadilishwa rais katika awamu ya kwanza hatakiwi kuchalenjiwa ndani ya chama katika kugombea awamu ya pili,so anapita bila kupingwa....
 
Hakuna kipindi Tanzania imejenga jina kimataifa kama kipindi cha Magu,

Hawa vibaraka wa wakoloni hatuwataki

Na Magu Will stay had 2040
Jina gani? Zaidi ya kutishana na Nissan nyeupe!
 
Kumekuwa na ubishani mkubwa kwamba Membe hawezi kumtoa Magufuli 2020 kwa sababu katika historia ya Tanzania hilo halikuwahi kutokea. Mimi nasema hapana,yote yanawezekana na sababu zipo lukuki!

Nikiangalia kwa upande wa CCM Mwanadiplomasia Bernard Membe ndiyo mtu pekee anayeweza kupindua meza kibabe pale CCM.

Acheni mawazo duni. Mbona babu zetu waliamini Nyerere na wenzake wangeweza kupindua meza kibabe ya mkoloni. Iliwezekana vipi?Ni mikakati kabambe inahitajika na siyo jambo la kitoto.

Sababu za Membe kufanikiwa hili ni nyingi kuliko kushindwa kwake.

1. Kutokubalika kwa Magufuli ndani na nje ya CCM

2. Kukosekana kwa utengamano wa kweli

3. Nia ya kuirudisha Tz kimataifa

4. Nia ya kurudisha mchakato wa Katiba ya Watanzania

5.nk

........... itaendelea(nitafafanua)
 
Habari za muda mabibi na mabwana!

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nawashauri wanachama wenzangu na wananchi kwa ujumla. Mwaka 2020 tusipoteze tena kama ilivyotokea mwaka 2015. Haya yote ni kwa sababu hatukutulia vizuri katika mchujo wa kumpata kiongozi bora.

Karibuni kwa maoni yenu.
twende nae wapi wakati katiba ya chama ilibadilishwa kuruhusu Raisi apite bila upinzani?
 
Wewe uko kwenye CC au NEC ya CCM ? Maana huko ndio mambo huanzia na kuishia😆😆😆
 
twende nae wapi wakati katiba ya chama ilibadilishwa kuruhusu Raisi apite bila upinzani?
Hawa machandrama makalio yana washa wanammzea mate babu Membe , uwiii chadrama mmeoza kweli kweli walahi
Pathetic DNA walahi
 
Back
Top Bottom