omari londo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 1,793
- 1,774
Atatoka tuuu hata kwa kutumia nguvuUnadhani jiwe atakubali kutoka, uraisi mtamu wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atatoka tuuu hata kwa kutumia nguvuUnadhani jiwe atakubali kutoka, uraisi mtamu wewe
am sure JPM yupo kwenye hii sred kijasho kinamtoka
Umesahau kuwatia kizuizini bashite na le mtumboz
Watanzania always huwa tunafikiri the next is better than the prev, wakuu, huyu mkwere mm simfagilii hata kidogo, kwanza ni mdogo wake na mkwere yule aliyepita, hivyo tunarudi kulekuleeeeeeee, picnic za majuu kila weekend na mtaanza kulalamika soon kwamba afadhali jiwe angeendelea tu, kitu ambacho mtakuwa mmechelewa miaka miamoja. Binafsi jiwe angeendelea kwa miaka mingine 20 ingekuwa poa sana sababu naona kabisa nchi inajongea na maendeleo yanaonekana kwanmacho.
Ule utasaidia kutengeneza wana Riadha wengi Sana utachorwa mistari vijana wanautumia kufanyia mazoezi!Ule uwanja wa ndege uliojengwa kule chattle tutaufanyaje? Nao utafaa kupigwa bei?
Umekunywa mbege wewe au ulanzi [emoji28]Watanzania always huwa tunafikiri the next is better than the prev, wakuu, huyu mkwere mm simfagilii hata kidogo, kwanza ni mdogo wake na mkwere yule aliyepita, hivyo tunarudi kulekuleeeeeeee, picnic za majuu kila weekend na mtaanza kulalamika soon kwamba afadhali jiwe angeendelea tu, kitu ambacho mtakuwa mmechelewa miaka miamoja. Binafsi jiwe angeendelea kwa miaka mingine 20 ingekuwa poa sana sababu naona kabisa nchi inajongea na maendeleo yanaonekana kwanmacho.
MBEMBE for president 2020[emoji23][emoji23]Kwa hali ilivyo hata mimi bila kulazimishwa nimeamua kumuunga mkono BM kugombea urais 2020. Watanzania wote tuanshishe #Mbembe for president 2020. Kwenye kila social media
Nyinyi ndo mtakaofanya Jf ifungiwe sio kwa mihemko hiyo, lakini kingine sisi watanzania tunaongoza kwa unafiki, kwani hata miaka ya nyuma watanzania hawa hawa walipiga kelele sana kwamba nchi imeuzwa kila mtu anachukua chake bora utawala unaokuja lichukue jeshi au itokee vita ndo akili zetu zitakaa sawa.MEMBE for president... Twende na memb #chocheachochea