Mkuu MoN, kwanza asante kwa bandiko hili,
Ukisema Membe aendelee kujiandaa kama ndio kibaraka wa US na EU anayeandaliwa kumreplace Magufuli, hapo tutakuelewa, lakini kwa sisi tunaomfahamu Membe, huyu huyu... bado sana kwa sababu, japo mimi sio CCM, lakini sii kweli kuwa CCM kuna mvutano wowote kuhusu uhalali wa watu wengine kugombea wakati the sitting president amemaliza term moja tuu, kwa sababu huo ndio utaratibu wao CCM, hakuna mwana CCM mwingine yoyote sio tuu kugombea, bali hata kufikiria kugombea.
Kwa Tanzania hii, kwa uchaguzi wa 2020, hakuna mazingira yoyote kumfanya Magufuli asidhinde unless kama ni yale ya EU na US kutuleta vibaraka wao, ila pia imeisha zungumzwa sana kuwa CCM itatawala milele.
Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!. - JamiiForums
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020? - JamiiForums
Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au Ni Magufuli tu?!. - JamiiForums
CCM kutumia Hooks & Crooks Kushinda Chaguzi, Inajua Ikishindwa Ndio Itakufa Jumla, Itakubali? - JamiiForums
This is very valid point, hakuna ajuaye, hivyo hata ile ndoto ya Lema inaweza kutimia, ni muhimu vyama vikawa na succession plan, hii huwa inafanywa na the inner core, kisirisiri, CCM hii kitu ipo, angalia tarehe ya bandiko hili
Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli - JamiiForums
hivyo wenye CCM yao, siku nyingi wameishaijua in an event of eventuality, who is who, lakini kiserikali, just in case of anything, kabla ya uchaguzi ni VP ndie ana take over.
Hili la succession plan, kwa Chadema, niliwahi kulizungumza na Dr. Slaa,
CHADEMA Hamkujipanga, hamjajipanga, hamjipangi na hamtajipanga!-2015 ni CCM tena! - JamiiForums
Ila kwenye succession plan ki nchi, kiserikali na kiusalama, hakuna maandalizi yoyote ya mind set or change of arms kwa vyombo vyetu wa serikali, ulinzi na usalama kumtumikia CnC kutoka nje ya CCM.
Kwa upande wa sifa za Membe ni kweli anazo, ila hili likitokea, kuna akina sisi wengine, itatubidi tutafute pa kuhamia
Face To Face With Mhe. Benard Camilius Membe!. "Sipati Usingizi!". - JamiiForums
Mimi mwenzenu nilikuwemo kwenye list hii
Bernard Membe: Nina maadui 11, ikifika 2016 watakimbilia Kenya! - JamiiForums
P.