johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Innocent Bashungwa 2030Ikumbukwe hawa vijana wadogo watatu Mwigulu, January na Kigwangalla waligombea urais 2015 japo safari yao iliishia kwenye kura za maoni.
...
Ni kwa sababu humjui vizuri. Wengi mnapumbazwa na camera.Nchi tunampa Mtaka.
====
Nadhani unapima upepo....na mimi nimeweka ukuta kumkinga Rais wetu wakati huo.
Kuna vitu si vya lazmaIkumbukwe hawa vijana wadogo watatu Mwigulu, January na Kigwangalla waligombea urais 2015 japo safari yao iliishia kwenye kura za maoni.
...
Lakini Watajwa unawajua vizuri. Ha ha haaa!Ni kwa sababu humjui vizuri. Wengi mnapumbazwa na camera.
Mtaka hawamjui hawa! Ujuaji mwingi na kujifanya yeye ndo anajua uongozi waulize RT na watu wa Simiyu!Ni kwa sababu humjui vizuri. Wengi mnapumbazwa na camera.
Aisee, katika kitu January amefanikiwa ni kuwa na nyie chawa wake wengi huku mitandaoniJanuary is Good, Very Good, namrank pamoja na Salim, Lowassa
Hahaha, Rais wako huyo 2030 MementoAisee, katika kitu January amefanikiwa ni kuwa na nyie chawa wake wengi huku mitandaoni