Urais 2030: Dkt. Mwigullu Nchemba na January Makamba wana nafasi nzuri kuliko Dkt. Hamis Kigwangalla

CCM muda wao umekwisha 2025 tunakuja na chama kipyaaaa kilichosajiriwa miaka mingi lakini kinakwenda kujaza wananchama NA WAFUASI na kitachukua dola. Utabiri MCHUNGU wa Mwl Nyerere kutimia 2025 baada ya kuutoa mwaka 1995 ni baada ya miaka 30 ya umri wa YESU unakwenda kutimia.
 
Kwani wewe ndie mwl. Wa lile somo pendwa la uongozi?
 
Hao madokta uchwara hamna kitu hapo.Kwanza wote ni madikteta awafai kuongoza watu hao.
 
CCM mawazo yao makuu ni Urais na makundi makundi - kaondoka mwendazake tayari tunaona timu zimeshaanza kujipanga kwa 2025 - Maza naye kakomaa hadi amalize 10 ya kwake hadi 2035, maana hii ya sasa si ya kwake bali anaimalizia kwa mujibu wa katiba.

kwa hiyo ndugu zangu watanzania dawa ya CCM ni KATIBA MPYA TU.
 
Huu uzi ni kichekesho baada ya kuongelea raisi 2025
 
Nyie simmesema mnajenga uchumi kwanza au sii nyie,sasa siasa za nini?
 
Nyie simmesema mnajenga uchumi kwanza au sii nyie,sasa siasa za nini?
Mkuu, watanzania waliaminishwa kwamba wapinzani wanichelewesha maendeleo kwa miruzi yao mingi, sasa tumeweka kuanzia kiongozi wa shina hadi taifa wote ni CCM - leo tunashuhudia kitu kipya kinaitwa TOZO.
 
Kwa fikra zako za mtu mzima unaona wana hadhi hiyo?
 
Kwa wasiojua, Mwendazake aliona watu wanajipanga kuelekea 2025 mara tu baada ya uchaguzi. Waziri mmoja (Mr. February Maropes), wa miti na mifuko ya plastiki, alikuwa akizunguka nchi nzima akihimiza mambo ya mazingira huku akiweka mizizi yake kwenye mashina nchi nzima. Mwenda zake alipogundua hili linafanyika, akiwa njiani kuelekea Lindi, alimpigia simu Bw. Maropes akiwa njiani na kumuonya kuhachana na huo ujinga mara mara moja. Baada ya muda kidogo, akatimuliwa na uwaziri

Baada ya hapo, hawa vijana na mwingine ambaye alifanyiwa mambo pale St. Peter’s, (Mbunge wa Ulezi) waliungana nguvu kuanza kujenga kundi kubwa ndani ya chama, wakijinasibu kama chaguo la watanzania kuelekea 2025. Cha ajabu kama siyo mtego wa Mama ili waharibu, basi ni fursa kwao kwa maana huyu Bw. Maropes, anajaribu kusuka shirika la solar, akiweka watu ambao ni wazuri kwenye fitna watakaomsaidia kwenye kampeni zake kuelekea 2025. Nadhani mama ameshagundua mchezo mzima wa Bw. Maropes unaofadhiliwa na CCM-Asilia. Kwa mfano, Mr. Gachuma ni mafia wa kanda za ziwa. Huyo mzee siyo mchezo. Tunamjua mchechu na Mafuru. Tunamjua mama Maajar…….Hii ni Kampeni ya 2025 Ndg. Marope kasuka kwa ustadi
 
ma nin a
 
Bwashee kuwa serious, huyu jamaa kama mnataka kumpoteza kwenye siasa kama jasusi mbobezi mlichomfanyia! Au mamvii..


Everyday is Saturday.........................................😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…