ukiwauliza nini wameifanyia nini nchi inayoitawala jibu ni zero,wanajilimbikizia mali nyingi mno kwa kutumia mgongo wa wanaowatawala ambao wengi wao wamesoma ila sio kwa kuelewa,that's why MADIBA ni ICON wengineo ni just strongmen,maana MADIBA aliiongoza SA just for 4yrs ,alitumia busara,hekima ,uvumilivu,usikivu bila ya haya SA ilishaanza kuingia kwenye civil war,angekuwa jiwe ndie rais pale nchi ingeteleza kwenye vita hasa baada ya kupigwa risasi kwa Hani .