Uchaguzi 2020 Urais CHADEMA ni kamati

Uchaguzi 2020 Urais CHADEMA ni kamati

Baada ya kusubiri kwa mda mrefu kusikiliza watangaza nia ndani ya chadema,nimeona watu maalum tu ndio wameweka nia. Mpk jana ni
1.Lissu
2.Msigwa
3.Nyalandu.
Inavyoonekana ni kale ka kamati cha ruzuku ndio wanatangaza. Huo utoto ni mkubwa katika kujenga demokrasia waliyokuwa wapigiwa kelel kuwa mbona haikuwepo toka 2010.

Yapi maoni yako?
CCM wako wangapi ?
 
Kuiunga mkono Chadema kipindi hiki ni zaidi ya kujitoa ufahamu. Jamaa ni Wasanii mchana kweupe na kichwani Vichwa Butu yaani Wepesiiiiiiiii.....
hivi kumbe na wewe unalipwa elfu 7 ! ama hakika corona imeua uchumi
 
Baada ya kusubiri kwa mda mrefu kusikiliza watangaza nia ndani ya chadema,nimeona watu maalum tu ndio wameweka nia. Mpk jana ni
1.Lissu
2.Msigwa
3.Nyalandu.
Inavyoonekana ni kale ka kamati cha ruzuku ndio wanatangaza. Huo utoto ni mkubwa katika kujenga demokrasia waliyokuwa wapigiwa kelel kuwa mbona haikuwepo toka 2010.

Yapi maoni yako?
Thread mavi uharo
 
Hayo ni maoni yako na kama walivyo wengine utaheshimiwa nayo, waache na ka kamati kao endelea na mambo yako,.
 
Baada ya kusubiri kwa mda mrefu kusikiliza watangaza nia ndani ya chadema,nimeona watu maalum tu ndio wameweka nia. Mpk jana ni

1. Lissu
2. Msigwa
3. Nyalandu.

Inavyoonekana ni kale ka kamati cha ruzuku ndio wanatangaza. Huo utoto ni mkubwa katika kujenga demokrasia waliyokuwa wapigiwa kelel kuwa mbona haikuwepo toka 2010.

Yapi maoni yako?
Tunaposema kuna watu wanafikiria kwa kutumia matakoo wewe ni mmoja wao?

Unataka wote wagombee Hiyo nafasi???
 
Back
Top Bottom