Urais ni kazi ngumu sana ambayo siyo kila mtu anaiweza

Ingekuwa ngumu tusingeona mkiiba kura ili kubaki madarakani. Huu utapeli kawaambieni wasiojitambua.
Wenye akili kubwa ,maono na Karama ya uongozi kama aliyonayo Rais Samia ndio wanastahili kupewa jukumu hilo zito la Urais.
 
Wengine wanadhani urais ni kuzurura na kucheza kwenye bembea
 
Taja watu watano nchi nzima unaofikiri wataiweza tuwaombe wachukue form 2025
 
Urais ni kazi ngumu ukitaka kuwatumikia wananchi kisawasawa,ikiwa Bora liende kazi ya rahaaa Sanaa hii.
 
Kazi rahisi sana TU!ukiamua kuwa mwadilifu no rahisi sana,simamia sheria na taratibu na organ zifanye kazi yake bhas mambo safi!
Uadilifu mtu anazaliwa nao. Anajifunza au kufundishwa uwizi, ulaghai au uhuni meingine baadae maishani. Kama mtu hajafunzwa mambo mabaya ataendelea kuwa mwadilifu maisha yote.
By the way Namba Moja ajaye nchini ndio utampokea mama kijiti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…