Uchaguzi 2020 Urais ni taasisi na cheo cha hadhi kubwa sana, hatuwezi kukigawa kwa huruma wala kwa muongo

CCM ilipo amua kumrudisha JPM kwenye kinyang'anyiro cha Uraisi haikukosea kwani ilitazama matarajio ya watanzania.
 
Lissu Ni tahira Kama matahira wengine. Huwezi kukisema kitu kibaya halafu at the same time unakitumia baada ya mkutano. Ndo maana hata kwenye mikutano watu hawajiView attachment 1568870
Huwezi ukapewa urais kwa sababu unajifanya mala ooooh! Nmepigwa mala oooh! Tunaonewa mala oooh! Sijui nini Bila ya kuwa na hoja za kuwashawishi watanzania wakuchague kwa sababu wewe una hoja zipi. Hivi kweli tukuchague kwa kukuhurumia???? Kwelii??. Haiwezekani
 
Lissu katika uchaguzi huu atapotea, CCM inashinda kwa kishindo.
#T2020JPM, #KuraYaNdiyoKwaMagufuli
 
Hivi Lisu kuna mahali amepanda dreamliner na airbus kwenye kampeni zake? Nadhani waungwana wenzangu mnachanganya mambo! Yeye anahoji uhalali wa nchi kama nchi kununua ma dreamliner na airbus kwa cash katika kipindi nchi inasuasua kiuchumi lakini hajahoji watu binafsi au mashirika kununua vimpanzi hivi vi caravan
 
Jambo zuri ni kuwa taasisi inayotafutwa kuundwa inapata mamlaka kutoka kwa wananchi,wapiga kura na sii kutoka kutoka kwa mkereketwa au mfurukutwa wa chama Fulani,tusubiri muda bado na muda ni mwalimu.
 
Na huyo anayejiita KICHAA aliyeifanya Tanzania idharauliwe na majirani zetu na nchi nyingi duniani ndiye anastahili siyo? Ndiyo wale wale MAZWAZWA wa lumumba.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…