Uchaguzi 2020 Urais ni taasisi na cheo cha hadhi kubwa sana, hatuwezi kukigawa kwa huruma wala kwa muongo

Uraisi wowote ule unamhitaji mtu ambaye ni jasiri, mwenye maamuzi mazito na mwenye maono positive kwa ajili ya kampuni/taifa/jamii husika

Kama hana hivyo vyote basi hastahili kuwa kiongozi katika level hiyo.

Kwa wagombea wote wanaowania kiti hicho Cha uraisi hapa Tanzania ni magufuli peke yake anayestahili hicho cheo kwa sasa
 
Aah nimekupata kumbe hoja ni kununua kwa Cash. Sio kuwa anapinga?

Mkopo + riba= Deni lingekuwa kiasi gani?
 
Nimejitahidi kusoma ila nimegundua unaandika mashudu tu.....
 
Ifike mahali muache kuandika upumbavu na upuuzi...hofu ya nini ? Acheni box la kura liamue kwa haki...
Lissu ni tishio kwa mustakabali wa bwana yule ndio maaana hamuishi kumjadili
Kweli.
 
..hakuna mwanasiasa muongo nchi hii kama Jpm.

..hakuna mwanasiasa mwenye lugha za matusi na udhalilishaji kama Jpm.

..Na Tanzania Bara hatujapata kuwa na kiongozi MKATILI kumzidi Jpm.
 
Tulipeni posho zetu la sivyoo huyo magufuli hatumchagui.
 
Lissu anajitahidi kuokoa mradi wa kula ruzuku usije kuota mbawa
 
Sio suala la kutaka huruma. Tukio la mbunge tena kiongozi wa upinzani kupigwa risasi hata ingekua moja tu, kupigwa maeneo ya makazi yanayo lindwa na askari waajiriwa wa serikali, lakini wahusika wasijulikane zaidi ya mwaka, siyo suala dogo.

Siyo ajabu mgombea kutumia mfano huo kuonesha mambo yanayotakiwa kufanyiwa maboresho katika nchi hii.

Baadhi yetu tumefuatilia kauli za wakubwa na vitendo kuhusu tukio lile, ukweli ni kauli za kuashiria furaha ya kilichotokea, maana sio kwa kejeli zile kwa mjeruhiwa!

Mnao kerwa na mfano huo mnasumbuliwa na suto la moyo.
 
🤝🤝
 
Ifike mahali muache kuandika upumbavu na upuuzi...hofu ya nini ? Acheni box la kura liamue kwa haki...
Lissu ni tishio kwa mustakabali wa bwana yule ndio maaana hamuishi kumjadili
Mbona kam ww ndio unahofu!
Povu la nn? Unapangia watu cha kuandika!
 
Hongera sana mtoa post lakini ufinyu wa akili za wengi zina kua shida kam kwel anajua elfu ishirini kwa mwaka nisaw na kulipa 20000÷360= 55.555 hata wasingali msikilza has wanao sapoti mtu awependj .mkumbuke hata libya wanalia sana sasa maamuzi yenu myatazame vzr watanzania wenzangu
 
Nadhani CHADEMA walimtizama Lissu kama mtu pekee mwenye storry mbele ya wananchi na si uwezo wa kugombea nafasi ya urais wa JMT
 
Taifa haliwezi kuongozwa kwa huruma CCM ndo msimamizi sahihi wa taifa hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…