maendeleo ya nchi ni mchakato wa muda mrefu sana hadi leo taifa tajrii la Marekani lina zaidi ya miaka 234 asilimia 11 ya raia wake ni masikini kuliko Watanzania sasa kwa miaka zaidi ya 234 Marekani haijaweza kufuta umasikini sasa huyu Mnafiki anasema ataweza kufanya hivyo kwa miaka mitano anamdanganya nani? Na hakika watanzania makini somo wamehslielwa msimamo Wapinzania warejeshwe darasani wakajifunze kutengeneza mtandao wa kisiasa kuandaa viongo
Mimi mkuu sikubaliani nawe juu usa na kumaliza umasikini,unaongelea nchi ambayo inauwezo wa kutoa ruzuku kwa wakulima wake,unaongelea nchi ambayo masikini wake ni sawa na mkuu wa shule ama waziri tz.ndugu yangu kuna nchi za kufananisha na wala sio isa,pia tambuwa kuwa usitegemee sana maneno ya wahenga hivyo ukayasubiri hayo maneno kuleta miujiza,hataunapomwomba mungu nawe pia ujisaidie,sio simba anakuja then ulala na kumwomba mungu utakufa,nachotaka kukueleza ndugu yangu ni kuwa nchi zilizo nyingi karne hii zinakimbizana kimaendeleo tukitaka kusubiri maneno ya wahenga kuwa mwenda pole hajikwai n aakijikwaa haangiki na akianguka haumii n aakiumia basi ni kidogo tu hatutafika na hicho ndicho kinacho tuumiza watz na viongozi wetu,kwanza wamekosa uadilifu wa kiuongozi pili wanadhani madaraka ni kwanza kwako pili kwa wenzako hawana utu wa kujitoa,kama kweli tunahitaji maendeleo kama wenzetu wa rwanda ni lazima tuwe na viongozi watakaojitoa kwa hali na mali pili tuwe na viongozi watakao kemea wizi na upolaji wa rasilimali za umma,nadhani kwa hilo twaweza fika,sijui mi nachelea kusema kuwa hii nchi inahitaji kiongozi kam fidel casto angalau kwa miezi 7 tu inatosha ama rais mao wa zamani china kwa miezi 9 tu inatosha.angalia kahama wana madini ya kufa mtu,north mara kinachotokea ni watu kuumia na tindikari na kansa,maji si salama maish duni,sijui lakini hii ni tz zaidi uijuavyo