Elections 2010 Urais sio rahisi mnafahamu wanajamii forum?

miaka takribani 50 ya uhuru bado kuna wakuu wenye mawazo finyu kiasi hiki?
endapo hii miaka 50 chama chako kimeshindwa kuratibu nchi hii kujiletea maendeleo ya watu, je, hii miaka 5 ndio mtafanya miujizaa kama ya enzi za yesu.


huu ni wakati mwafaka wa kuiingiza chadema madarakani ili kupata

  • demokrasia
  • maendeleo
 
Tehe tehe...hata mimi nlizimiss sana hizi pumba!! nakushauri mtafute mtu anaejiita MS (mgonjwa pekee wa malaria kali humu JF) ili walau akufundishe vizuri jinsi ya kuandika pumba kama hizi...na ndo mana nkaona nkugongee japo thanks ya kukukaribisha tu jamvini manake kwanza umeingia bila hodi...husalimii...!!!sjui wa wapi wewe!?? anagalia usije ukapotea njia afu ukashindwa kwa kwenda kwas kujifanya mjuaji!!??
 
Kweli wewe ndio mkata miti kuhujumu rasimali zetu, uchumi wetu, pamoja na maisha yetu...! Hili na mshindwe na mlegee kabisa....!

 
maendeleo ya nchi ni mchakato wa muda mrefu sana hadi leo taifa tajrii la Marekani lina zaidi ya miaka 234 asilimia 11 ya raia wake ni masikini kuliko Watanzania sasa kwa miaka zaidi ya 234 Marekani haijaweza kufuta umasikini sasa huyu Mnafiki anasema ataweza kufanya hivyo kwa miaka mitano anamdanganya nani? Na hakika watanzania makini somo wamehslielwa msimamo Wapinzania warejeshwe darasani wakajifunze kutengeneza mtandao wa kisiasa kuandaa viongo



Mimi mkuu sikubaliani nawe juu ya usa na kumaliza umasikini,unaongelea nchi ambayo inauwezo wa kutoa ruzuku kwa wakulima wake,unaongelea nchi ambayo masikini wake ni sawa na mkuu wa shule ama waziri tz.ndugu yangu kuna nchi za kufananisha na wala sio usa,pia tambuwa kuwa usitegemee sana maneno ya wahenga hivyo ukayasubiri hayo maneno kuleta miujiza,hataunapomwomba mungu nawe pia ujisaidie,sio simba anakuja then unalala na kumwomba mungu utakufa,nachotaka kukueleza ndugu yangu ni kuwa nchi zilizo nyingi karne hii zinakimbizana kimaendeleo tukitaka kusubiri maneno ya wahenga kuwa "mwenda pole hajikwai na akijikwaa haanguki na akianguka haumii na akiumia basi ni kidogo tu" hatutafika na hicho ndicho kinacho tuumiza watz na viongozi wetu,kwanza wamekosa uadilifu wa kiuongozi pili wanadhani madaraka ni kwanza kwako pili kwa wenzako hawana utu wa kujitoa,kama kweli tunahitaji maendeleo kama wenzetu wa rwanda ni lazima tuwe na viongozi watakaojitoa kwa hali na mali pili tuwe na viongozi watakao kemea wizi na upolaji wa rasilimali za umma,nadhani kwa hilo twaweza fika,sijui mi nachelea kusema kuwa hii nchi inahitaji kiongozi kama fidel casto angalau kwa miezi 7 tu inatosha ama rais mao wa zamani china kwa miezi 9 tu inatosha.angalia kahama wana madini ya kufa mtu,north mara kinachotokea ni watu kuumia na tindikari na kansa,maji si salama maisha duni,sijui lakini hii ni tz zaidi uijuavyo
 

Kweli maandishi ya mtu yanazunguzia umakini na elimu ya mtu. Nikuulize unajua sababu za kwani maskini wanaendelea kuwapo Marekani? Unajua kwanini katika hao maskini wengi ni watu ambao ni hispanic origin, african america etc. Sasa unaelewa kinachopelekea wao kuendelea kuwa maskini? Mbona huko marekani elimu ni bure kwa level ya chini ukifika university level ndio unaanza kuchangia na huko pia university student wanapewa mikopo? Hebu fafanua zaidi tukuelewe unachokizungumza mkuu
 
nilifikiri wote watanijibu kwa kebehi ..tahadhari : katika siasa hakuna adui wala rafiki wa kudumu maslahi endelevu ndio ya kudumu! halafu siasa ni usanii na ubunifu wa kutenda ambalo linawezekana wakati husika...! teheheeee...! ngoja nikumininieni kigongo kingine nasikia wale watani zetu mlikuwa mnatesa sana....! tuvumiliane tanzania hii ni yetu sote baada ya Oktoba 31, 2010 bado tutaendelea kluasihi pamoja lugha za kuadui sio silka za watanzania....! tuwe na uvumilivu wa kisiasa...!:smile:
 
Mkatamiti
Junior Member

Join Date
Wed Apr 2010
Posts
1
Thanks
0
Thanked 2 Times in 1 PostRep Power
0
Kwa hii nichangie nini? Karibu!
 
Hii makala ungeipeleka gazeti la RAI au AL HUDA ingefaa sana. Hapa sio sehemu yake mkuu.
 
Mkatamiti unaumwa kipindupindu. Kunya ukalale.
 
Huu ni us****************e
Kweli wewe ni mkatamiti na wewe huelewi kwanini Tanzania ni masikini!! Watu wengine tuwasamehe tu hawajui watendalo kama angejua nchi ambazo tulikuwa sawa nao miaka hiyo 50 na leo wako wapi maneno haya wala mkatamiti usingesema.
 
Mipango ya muda mrefu ipi tena unayozungumzia ndugu? CCM tayari iko madarakani kwa miaka karibuni 50 sasa na hakuna mabadiliko ya maana tuliyoyaona. Nchi nyingine km Malasyia na Thailand katika kipindi hiki cha miaka 50 tayari wamepiga hatua kubwa sana CCM ndio chimbuko la umasikini uliokithiri miongoni mwa watanzania.

Kuhusu lugha chafu angalia kashfa kutoka kwenye chama chako kwenda vyama vingine. Acha ushabiki wa kichama chama kuwa mzalendo wa ukweli.tatizo la wana CCM wengi ni kutanguliza maslahi ya chama mbele ya maslahi ya Taifa na kujaribu kuupinga ukweli kwa kila namna ili kunusuru chama
 
  • Ahadi za CCM ni za uhakika zinatekelezwa katika mchakato unaoeleweka,’ wahenga wanasema kawia ufike!

Chagua Amani, Utulivu , Usalama, Mshikamano na Maendeleo , chagua CCM!

hata kama unakula kuku kwa mrija kwa sababu ya ccm

hata kama umefunika mawe ya dhahabu chini ya msingi wa nyumba yako kwa sababu ya ccm

hata kama unamiliki ndege kwa sababu ya CCM

hata kama una account ya benki ya mabilioni kwa sababu ya CCM

MAWAZO YAKO NI SAWA NA KINYESI!!!!! I SAY IT AGAIN, MAWAZO YAKO NI KINYESI!!!
 
Nimepoteza time kusoma vapours tupu....p*m*a*u!!!
 

Product ya kivukoni....:smile-big:
 
Nimepoteza time kusoma vapours tupu....p*m*a*u!!!

Hata mimi mkuu! Nimetoa mijicho nikadhani naweza grab point kumbe wapi. Mashudu matupu. Ila Mkatamiti kaza uzi, hata nduguyo MS na Zomba (the bug) walianzia huko huko.
 
hata pumba zinatofautiana maana zingine zinafaa kulishia mifugo na ikanenepa ili pumba za huyu jamaa hazitumiki na mifugo bali na za kuchomea matofali.
 
Kichwa cha habari ni sahihi lakini habari yenyewe n i@#$#$@@$. Kujua usahihi wa kichwa cha habari, mwulize Kikwete.
 
Ivi kuna mtu hapa jf ameweza kusoma ujinga wa mleta ukame/mkatamiti walau nusu ili niweze kumpa thanks. Naona wengi wanasoma mwanzo,kati na mwisho. Miradi ya ccm ya magari mwendo kasi ndo muibamiti anasifia. After all Jf is not for wakatamiti its for Great Thinkers!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…