Urais unamfaa January Makamba kwa sasa

Mtu asiye na mawazo ya ujamaa 100% na asiye mwizi anatosha.

Inchi inahitaji wawekezaji, wafanyabiashara wakubwa, teknolojia n.k hatuwezi kuwa na haya mambo kwa akili za kijamaa 100%.
Ujamaa haujawahi kuwa mfumo mbaya kwa 100%. Tumia akili.

Nenda Kenya ukaone athari za Ubepari kwa 100%.

Nenda Marekani uoine kama hakuna ujamaa.

Tatizo la wabongo mna hulka fulani ya kutamani vitu ambavyo hamvijiui vizuri au kwa kusikia sikia tu.
 
Tafuta nchi Yako umuweke J.Makamba afu ndio atawateua hao uliowataja.
 
Ujamaa haujawahi kuwa mfumo mbaya kwa 100%. Tumia akili.

Nenda Kenya ukaone athari za Ubepari kwa 100%.

Nenda Marekani uoine kama hakuna ujamaa.

Tatizo la wabongo mna hulka fulani ya kutamani vitu ambavyo hamvijiui vizuri au kwa kusikia sikia tu.
Soma uelewe. Sijashauri nchi iwe ya kibepari kwa asilimia 100%.

Halafu sina sababu ya kwenda Kenya wala marekani kuufahamu ubepari.

Hakuna kitu kinaitwa wabongo, kuna watanzania.
 
Soma uelewe. Sijashauri nchi iwe ya kibepari kwa asilimia 100%.
Hapa unajadili, humshauri yeyote.

Huna uwezo wa kushauri, ni mpumbavu tu atakubaliana na ushauri wako.
Halafu sina sababu ya kwenda Kenya wala marekani kuufahamu ubepari.
Na wala ubepari huufahamu. Na ndio maana hujui unachojadili.
Hakuna kitu kinaitwa wabongo, kuna watanzania.
Kitu ni nini ?

Mimi nazungumzia binadamu.

Binadamu hawajawahi kuwa vitu.
 
Labda awe rais wako wewe na uko wako....huyo hawezi kuwa rais wa nchi hi, hata uwaziri alionao sasa hawezi kudumu nao....mark my words...
 
Umesahau kautaratibu ketu kakuangalia dini? Kwani January ni dini gani? Pia Makonda anatakiwa awe sambamba na Sabaya muda huu!
 
Akili za kimasikinii unajadili watu badala ya kuijadili ajenda za kitaifa kama kativa mpya
 
Hapa unajadili, humshauri yeyote.

Huna uwezo wa kushauri, ni mpumbavu tu atakubaliana na ushauri wako.
Upo sahihi Ila usahihi wako ni Kwenye Id hii humu jukwaani tu.

Kuhusu hayo mengine pia upo sahihi sikupingi. Ila ni humu JF tunapojadili.

Ila tukitoka humu tukarudi katika uhalisia Nchi yetu haipo katika ujamaa kwa 100% na haitakuwa.

Tulishakuwa awamu fulani ya kale na awamu ya hapa karibuni tulitaka kujaribu kidogo ila ikashindikana kwa sababu fulani fulani na haitawezekana tena bwana Mkaruka.

Kazi iliyobaki ni kuzuia ubepari 100% na kuzuia mabepari wezi wa rasilimali.
 
Tatizo ni moja.

Atauza kila kitu, pamoja na raia anaowaongoza!
 
Mnataka kumkwamisha Mama, kuna uzi humu umetoa Rai...yoyote atakayetaka kuzikwamisha mbio za mama ashughulikiwe
 
Mtu asiye na mawazo ya ujamaa 100% na asiye mwizi anatosha.

Inchi inahitaji wawekezaji, wafanyabiashara wakubwa, teknolojia n.k hatuwezi kuwa na haya mambo kwa akili za kijamaa 100%.
Mkuu, hujui maana ya "ujamaa"; halafu unakuja hapa na kupotosha uonekane wewe ni mjuaji!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…