Urais unamfaa January Makamba kwa sasa

Urais unamfaa January Makamba kwa sasa

Kipimo chake ni kwenye uwaziri wa nishati. Kwa sasa tunashuhudia akifanya makongamano kila siku.
Huku umeme ukiendelea kukatika kila sekunde! Ni lazy affaires fulani hivi tena asiyejijua kabisa kuwa yeye ni lazy!🤭😬😬
 
Alipata Zero huko vidatoni 🤭🤭 , kisha ghafula akaibukia marekani na akarudi na vyeti hakika, February hafai peponi wala Kuzimuni huko motoni kwa shwetan

Alipata Zero huko vidatoni 🤭🤭 , kisha ghafula akaibukia marekani na akarudi na vyeti hakika, February hafai peponi wala Kuzimuni huko motoni kwa shwetan

Alipata Zero huko vidatoni 🤭🤭 , kisha ghafula akaibukia marekani na akarudi na vyeti hakika, February hafai peponi wala Kuzimuni huko motoni kwa shwetani!
Wabongo mmerogwa na elimu ya kukalili mnaamini sana kwenye ufahulu wa makaratasi, ndio mana first class wa uchumi anawapiga MATOZO hadi sio poa mana uwezo wake wa kufikiri umeishia hapo.
 
Marope ana kasha moja chafu ,haijulikani na wengi ila wapinzani wake wakiitumia ,basi ata utendaji wa serikali za mtaa hataupata
👩🏾‍✈️
Wabongo mmerogwa na elimu ya kukalili mnaamini sana kwenye ufahulu wa makaratasi, ndio mana first class wa uchumi anawapiga MATOZO hadi sio poa mana uwezo wake wa kufikiri umeishia hapo.
Kama hujui shule umuhimu wake huwezi kunielewa
 
Anyway, mimi mwenyewe sijasema tuwe na ubepari kwa 100% au ujamaa kwa 100%.

Ila watu wengi wanaopinga Ujamaa wa Nyerere ni kama vile wanataka kuonesha kama Ubepari was the best system ever!!!

Kitu ambacho siyo kweli.

Leo Tanzania bado tuna ardhi ya ( BURE ). No strong families, maisha ya watanzania wengi hayana tofauti kubwa kiuchumi.

Hilo tu linastahili shukrani
Kabisa.

Inatakuwa tujue kubalance alichokiacha Nyerere na uhalisia wa dunia wa sasa.

Sisi tumezeeka tunaweza tusiumie sana, hawa tutakaowaacha tuwaachie nchi yenye mahusiano mazuri na mataifa mengine na mbinu za kuhakikisha hawaumizwi wakapoteza uhuru.

Nyerere alijua namna ya kuhakikisha kuwa tuna mahusiano mazuri na alishirikiana na mataifa makubwa tangu kudai uhuru.

Alipoona sasa nchi ni ngumu chini ya imani yake akatoa nafasi kwa wengine pamoja na kupingwa sana na mfumo.

Tunatakiwa tusipoteze nchi lakini pia tusiwe kisiwa tukaachwa nyuma tukitegemea ardhi kwamba tule tulale.

Dunia inabadilika kwa kasi sana. Tunapoelekea kunahitajika akili zaidi ya misimamo isiyoyumba. Tunapoelekea mifumo ya kidunia itabana sana ikiwa hutakuwa na kizazi chenye akili na exposure ya kutosha.
 
Tanzania ogopa Tundu Lissu ni sawa na shetani Magufuli.
Hatuhitaji kibaraka, wazungu hawamfadhili huyo bure wana lao, jamaa hao huwa hawatoi msaada bure usiokuwa na tija kwao.
 
👩🏾‍✈️

Kama hujui shule umuhimu wake huwezi kunielewa
Shule ni kujua kusoma, kuandika na hesabu za kawaida, ila kama unaamini shule ni kukalili theory za watu wa zamani nakupa poleh mana dunia inabadilika kwa kasi kwenye masuala ya science na teknolojia Cha msingi ni kukijenga na kukiendeleza zaidi kizazi kilichopo kulingana na talent walizozaliwa nazo ndio tutapiga hatua.
 
Sasa, nimeandika kuwa ni failure na kwingi tu aliishaonesha kufeli katika teuzi ila mbaya zaidi na vidatoni alifeli 😂😂😂
 
Msituchefue na kundi lenu la wezi
Hao wasafi ni kina nani? Wanaolinajisi jina la Mungu kwa kujiapiza huku wakiwa na mkono wa damu? Au wanaojimilikisha mali nyingi kupitia migongo ya watu? Poleh sana.
 
navyowapenda CCM ni namna wanavyojipanga kwa safu ya Urais na makundi, aisee wapo vizuri mno, yaani as if Tanzania haina binadamu wengine bali ni wao tu na chama chao.
 
January Makamba kwa mtazamo wangu namuona ni mtu ambaye yupo smart sana kichwani, ana busara, mtulivu, si mpenda sifa bali ni mchapa kazi, si mtu wa media sana na hakurupuki kataka maamuzi yake bali ni mtu wa kujiridhisha Kwanza hivyo anafaa sana. Huyu anawajua matajiri vizuri.

Antony Mutaka anafaaa sana kuwa waziri mkuu wake mana ana UTU, mchapakazi, mbunifu, katika utendaji wake na speech zake huwa anajikita namna ya kuwakwamua watu wa kipato cha chini, ni mtu anayejitoa sana na pia hutoa maamuzi si kwa kukurupuka bali kwa kujiridhisha. Huyu anawajua watu wa hali ya chini vizuri.

Mawaziri ambao watatakiwa wawateue ili utendaji wa kazi uwe vizuri ni Paul Makonda, Bashe, Kalemani, Nape, prof Mbalawa, Lukuvi, Biteko, Dr. Bashiru, Prof Asssad, Zitto Kabwe, James Mbatia, Jussa, Fatma Karume, Jafo, Aweso, Kyombo, Ummy Mwalimu, Uttoh, Mafuru, Mchechu Prof. Lipumba na prof Kabudi.

Muunganiko mzuri wa watu masikini na matajiri ndio utaleta tija kwa ustawi wa uchumi wa nchi yetu. Iwapo patakuwa na ubaguzi au kuonewa kwa kundi mojawapo nchi yetu itakuwa bado tupo kwenye safari ndefu ya mafanikio makubwa ya kiuchumi.
[emoji848] Mh!!! ... jamani Raisi awe Kogogo 2014 hii itakuwa nchi au tarafa
 
Familia zile zile,
Watu wale wale,
Akiki zile zile,
na mawazo niyale yale,
{protecting their legacy, their lies, their mistakes,.......}

ivi ccm hakuna watu wengine zaidi ya hawa..???

tutoke nje ya box jaman..
 
Ukiwa hujui, jambo, wewe ni "mjinga" kwenye jambo hilo, ukiendelea kujifanya wewe ni mjuaji huku hujui kitu, hapo unakuwa 'MPUMBAVU'!
Na ukiwa unapoteza muda kuendeleza na kulazimisha hoja isiyo na umuhimu unaitwa king'ang'anizi... ukikazana sanaaa unakua kimbwiro.
 
Back
Top Bottom