Urais unamfaa January Makamba kwa sasa

Urais unamfaa January Makamba kwa sasa

Bado sijaona rais ataefaa nchi hii hata mmoja.
Labda tuazime rais kutoka marekani au europe
 
Mimi si mshabikii Mbowe! Nashabikia Mageuzi ya kweli ya kuondokana na ccm siku moja kupitia Katiba Mpya na Tume Huru ya uchaguzi. Hata kipindi anagombea kwa awamu ya tatu nilipinga humu jukwaani kiasi cha kuonekana ni kada wa ccm!

Ila sikubaliani na uonevu anaofanyiwa wa kupewa kesi ya ugaidi hewa! Mimi ni muumini wa haki ma usawa katika jamii!
Tuko pamoja mkuu, humu ukitetea haki na usawa wanafikiri lazima uwe shabiki wa mbowe, wanaoelewa wanataka kuona jamii yenye haki na usawa kwa wote na ndio maendeleo ya kweli, hivi vyama vinakuja na kuondoka lakini Taifa imara litakuwepo tuu, leo unaweza kuwa CCM kesho mjukuu wako chadema, katiba yenye kulinda haki na kuhakikisha usalama wa raia wote ndio uhuru wa kweli
 
Kimbwiro hana ufahamu pale anapopuuzwa. Huwa ana upumbavu wa kulazimisha mjadala usio na umuhimu, yaani mjadala unaoonekana ni wa kipumbavu.
Bado haiondoi maana ya mtu 'mpumbavu' kutaka kujionyesha yeye ni mjuaji kwa kuokoteza vimanne ili aonekane yeye ni kinara wa wapumbavu.

Na kwa hali hiyo, naachana na kuendelea kupoteza muda na mpumbavu.
 
January Makamba kwa mtazamo wangu namuona ni mtu ambaye yupo smart sana kichwani, ana busara, mtulivu, si mpenda sifa bali ni mchapa kazi, si mtu wa media sana na hakurupuki kataka maamuzi yake bali ni mtu wa kujiridhisha Kwanza hivyo anafaa sana. Huyu anawajua matajiri vizuri.

Antony Mutaka anafaaa sana kuwa waziri mkuu wake mana ana UTU, mchapakazi, mbunifu, katika utendaji wake na speech zake huwa anajikita namna ya kuwakwamua watu wa kipato cha chini, ni mtu anayejitoa sana na pia hutoa maamuzi si kwa kukurupuka bali kwa kujiridhisha. Huyu anawajua watu wa hali ya chini vizuri.

Mawaziri ambao watatakiwa wawateue ili utendaji wa kazi uwe vizuri ni Paul Makonda, Bashe, Kalemani, Nape, prof Mbalawa, Lukuvi, Biteko, Dr. Bashiru, Prof Asssad, Zitto Kabwe, James Mbatia, Jussa, Fatma Karume, Jafo, Aweso, Kyombo, Ummy Mwalimu, Uttoh, Mafuru, Mchechu Prof. Lipumba na prof Kabudi.

Muunganiko mzuri wa watu masikini na matajiri ndio utaleta tija kwa ustawi wa uchumi wa nchi yetu. Iwapo patakuwa na ubaguzi au kuonewa kwa kundi mojawapo nchi yetu itakuwa bado tupo kwenye safari ndefu ya mafanikio makubwa ya kiuchumi.
Makamba hana cheti halali cha FORM FOUR NA FORM SIX

NAMANISHA JANUARY MAKAMBA
 
Tokea huyu mme wako aingie kwa geothermal nakuambia fire inakatakata kila wakati hata sijui ni kwa Nini. Enzi za hayati tulisahau hizi mambo
 
KWa kweli Urais tz ,umekua mwepesi mno ,kwamba KILA mmoja anaweza kua Rais ,very shame ,why hamzungumzi mtu kama mkuu wa mkoa wa Dodoma KWa Sasa au kisa Sio mbunge ? Acheni Mambo ya ajabu Mungu anawaona, Angalau huyo japo ccm 2025 ndo mwisho wao asema Bwana
Nakubaliana nawe kwa sehemu zote mbili; juu ya mkuu wa mkoa wa Dodoma na mwisho wa CCM 2025.
Mtu anamshabikia mtu kama Makamba, au Mwigulu kuwa rais, nchi hii tumekosa nini?
 
Msipoteze muda kumpigia debe January, Mbingu zilisha mkataa na baada ya Hangaya atapotea.
 
Bado haiondoi maana ya mtu 'mpumbavu' kutaka kujionyesha yeye ni mjuaji kwa kuokoteza vimanne ili aonekane yeye ni kinara wa wapumbavu.

Na kwa hali hiyo, naachana na kuendelea kupoteza muda na mpumbavu.
Ulipaswa kuacha mapema sana. Ila kwa sababu fulani fulani zinazohusiana na ubongo wako hukufanya hivyo. Haya, usinijibu tena.
 
Wanadamu bana, mnapanga na Mungu nae anapanga anyway Rais ajae ni Mtu mmoja jina lake anaitwa ...... simtaji ila ametumbuliwa kwa sasa.
 
January Makamba kwa mtazamo wangu namuona ni mtu ambaye yupo smart sana kichwani, ana busara, mtulivu, si mpenda sifa bali ni mchapa kazi, si mtu wa media sana na hakurupuki kataka maamuzi yake bali ni mtu wa kujiridhisha Kwanza hivyo anafaa sana. Huyu anawajua matajiri vizuri.

Antony Mutaka anafaaa sana kuwa waziri mkuu wake mana ana UTU, mchapakazi, mbunifu, katika utendaji wake na speech zake huwa anajikita namna ya kuwakwamua watu wa kipato cha chini, ni mtu anayejitoa sana na pia hutoa maamuzi si kwa kukurupuka bali kwa kujiridhisha. Huyu anawajua watu wa hali ya chini vizuri.

Mawaziri ambao watatakiwa wawateue ili utendaji wa kazi uwe vizuri ni Paul Makonda, Bashe, Kalemani, Nape, prof Mbalawa, Lukuvi, Biteko, Dr. Bashiru, Prof Asssad, Zitto Kabwe, James Mbatia, Jussa, Fatma Karume, Jafo, Aweso, Kyombo, Ummy Mwalimu, Uttoh, Mafuru, Mchechu Prof. Lipumba na prof Kabudi.

Muunganiko mzuri wa watu masikini na matajiri ndio utaleta tija kwa ustawi wa uchumi wa nchi yetu. Iwapo patakuwa na ubaguzi au kuonewa kwa kundi mojawapo nchi yetu itakuwa bado tupo kwenye safari ndefu ya mafanikio makubwa ya kiuchumi.
Fake ID za January hizi kutaka kuona Maoni ya watu
Maoni yetu ni Haya, Ulifeli tokea uibe Mitihani Galanos na utaendelea Ku Fail
Kimachokuweka wewe nibeleko Tu ya Mkwere
 
January Makamba kwa mtazamo wangu namuona ni mtu ambaye yupo smart sana kichwani, ana busara, mtulivu, si mpenda sifa bali ni mchapa kazi, si mtu wa media sana na hakurupuki kataka maamuzi yake bali ni mtu wa kujiridhisha Kwanza hivyo anafaa sana. Huyu anawajua matajiri vizuri.

Antony Mutaka anafaaa sana kuwa waziri mkuu wake mana ana UTU, mchapakazi, mbunifu, katika utendaji wake na speech zake huwa anajikita namna ya kuwakwamua watu wa kipato cha chini, ni mtu anayejitoa sana na pia hutoa maamuzi si kwa kukurupuka bali kwa kujiridhisha. Huyu anawajua watu wa hali ya chini vizuri.

Mawaziri ambao watatakiwa wawateue ili utendaji wa kazi uwe vizuri ni Paul Makonda, Bashe, Kalemani, Nape, prof Mbalawa, Lukuvi, Biteko, Dr. Bashiru, Prof Asssad, Zitto Kabwe, James Mbatia, Jussa, Fatma Karume, Jafo, Aweso, Kyombo, Ummy Mwalimu, Uttoh, Mafuru, Mchechu Prof. Lipumba na prof Kabudi.

Muunganiko mzuri wa watu masikini na matajiri ndio utaleta tija kwa ustawi wa uchumi wa nchi yetu. Iwapo patakuwa na ubaguzi au kuonewa kwa kundi mojawapo nchi yetu itakuwa bado tupo kwenye safari ndefu ya mafanikio makubwa ya kiuchumi.

January unaitwa huku uliko fisidi Bumbuli Saccos
 
Mnataka kijana wa watu afukuzwe kazi?!!
 
Sawa Makamba tumekusikia.
 
Ni watu wanyonge tu(wajinga) wanaoamini raisi anatokana na kufauhulu mitihani ya kukalili ila wajuva wa mambo tunaamini raisi ni mtu yeyote mwenye maono, msimamo wenye faida, mwaminifu, anayethubutu, mchapakazi, anashaurika na anayekubali kukosolewa pale anapoenda isivyo. JANUARY hivyo vigezo vyote anavyo.
 
Wana JF kiukweli mimi sio Makamba sina urafiki nae wala simpigii kampeini mana uchaguzi bado upo mbali sana na mama anaupiga mwingi tu hivyo tufanye kazi kwa bidii tu, Mimi sio mtu wa siasa kivile ila natoa mtazamo wangu pamoja na wa vijana walio wengi wasomi kwa nature ya raisi wanayemuhitaji kiukweli huyu jamaa wanamkubali sana he is very smart. Tatizo la wabongo mnapenda watu waongo, wasiofuata utawala wa sheria, wapenda sifa, miungu watu, muitwe wanyonge(wajinga) ndio muhisi huyo ndiye raisi.
 
Siku waB tukiacha majungu na akili ya umasikini tutapiga hatua sana hivi mtu anayependa matajiri waishi kama mashetani ana nia nzuri na nyinyi muwe matajiri? WaB ukiwaita wanyonge kweli wananyongeka na wanakuwa wavivu wa akili aisee bora muongeze TOZO tufanye kazi kwa bidii ili unyonge uishe tuijenge nchi kwa kasi.
 
Sasa naelewa kwanini uchaguzi uliopita Mh. Hashim Rungwe Spunda alipata kula nyingi.
 
Back
Top Bottom