Urais unamfaa January Makamba kwa sasa

Yaani hapo ulipomtaja tu Paul Makonda, sijui Ummy Mwalimu, Kalemani, James Mbatia, nk nimeona nichague tu kukupotezea!

Haiwezekani sura zile zile kuamua hatma ya maisha yetu miaka nenda! Tunahitaji sura mpya na mawazo mapya.
Mimi nimeacha kusoma mara baada ya kulikuta jina la dr Bashir, yaani huyu ni msomi nisiyejua kabisa usomi wake una maana gani
 
Haya, MAKAMBA tayari.

Ni nani atuletee ya MADILU, a.k.a., Nchemba.

Halafu na yule mwingine Kingwangwala

Hii nchi hatuna matumaini tena!
 
Mkuu, hujui maana ya "ujamaa"; halafu unakuja hapa na kupotosha uonekane wewe ni mjuaji!
Sijui maana ya ujamaa sawa. Hata mwenzako kanieleza hivyo na sitabisha kuhusu hilo maana wala halina umuhimu...

Kuhusu ujuaji, nachojua ni kuwa kwenye makaratasi tunasema tupo katika ujamaa na kujitegemea ila katika uhalisia sivyo tulishawahi kuwa awamu ya BWT ikafeli akang'atuka.
 
Marope ana kasha moja chafu ,haijulikani na wengi ila wapinzani wake wakiitumia ,basi ata utendaji wa serikali za mtaa hataupata
 
Kipimo chake ni kwenye uwaziri wa nishati. Kwa sasa tunashuhudia akifanya makongamano kila siku.
Kongamano liliandaliwa na Mwananchi newspapers, wamejiwekea utaratibu wa kuandaa makongamano yanayohusu taasisi mbalimbali kila weekend, wiki hii ilikuwa ni taasisi za kifedha!! Last week ilikuwa ni nishati na madini, wakamwalika yeye kama waziri mwenye dhamana, ulitaka akatae? And hayo makongamano kila siku ni yepi? unaweza kututajia hapa?
 
Tatizo la nchi hizi za kifisadi na madili hata Kilaza anaweza akawa Rais wa kila kitu ; Rais wa Nchi, Rais wa TFF hata Rais wa Kampuni! Ukiona nchi inaokoteza “failures” na kuwaweka katika ngazi Kubwa kama za Uwaziri tambua kabisa pana tatizo hadi jikoni! Wenye hekima mtanielewa na kunishukhuru badae
 
ALIIBA MITIHANI HUYO HAFAI
 
Tundu Lissu ni Rais baada ya Tume kuwa huru.
Huyo ana spam mishindo tutalala kabla hatujaamka nchi tutaikuta ipo vitani na Malawi, , Msumbiji na hadi Korea Kasikazini 🤭🤭🤭🤭🤭
 
Tanesco tu imemshinda nchi ataweza ?
 
Tanzania ogopa Tundu Lissu ni sawa na shetani Magufuli.
 
ALIIBA MITIHANI HUYO HAFAI
Alipata Zero huko vidatoni 🤭🤭 , kisha ghafula akaibukia marekani na akarudi na vyeti hakika, February hafai peponi wala Kuzimuni huko motoni kwa shwetani!
 
Angalia unavyojichanganya.

Kama "hujui"maana, utasemaje kwamba "halina umuhimu"?
 
Tunatakiwa tupate raisi mwenye exposure sio mshamba ambaye hataki watu tuwe matajiri sio wa kutudukua account zatu.
 
Anyway, mimi mwenyewe sijasema tuwe na ubepari kwa 100% au ujamaa kwa 100%.

Ila watu wengi wanaopinga Ujamaa wa Nyerere ni kama vile wanataka kuonesha kama Ubepari was the best system ever!!!

Kitu ambacho siyo kweli.

Leo Tanzania bado tuna ardhi ya ( BURE ). No strong families, maisha ya watanzania wengi hayana tofauti kubwa kiuchumi.

Hilo tu linastahili shukrani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…