Urais unamfaa January Makamba kwa sasa

Uvundo was ufisadi,jk photocopy hafaiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii jk tyrannical regimes
 
Na wewe kichwani mwako ni empty kama hao ndio watu "smart" kwako. Wanasiasa karibu wote Tanzania ni empty tu- hakuna mtu smart katika list ya wanasaiasa wote popular wa Tanzania ya leo hii; ila wapo wale ambao "wanaojua kutekeza majukumu yao kwa wananchi" na wale "wanaojua kula na washikaji wao".
 
yes brother,
tupo pamoja,
Tatizo watu wengi wanazani nilazima Mtanzania uwe ni wachama fulani ndipo uanze kuikosoa serikali...
 
Huyu hafai hata kuwa balozi wa nyumba kumi. Ni dhaifu hakuna mfano. Ukimpa urais, umempa baba yake Yusuf. Isitoshe, huyu ni mtoto wa kulishwa kwa kijiko. Hata kichwani hana lolote pamoja na kuwa na Masters kwenye Conflict Studies tena kutoka Marekani kule Minnesota.
 
Bado sijaona rais ataefaa nchi hii hata mmoja.
Labda tuazime rais kutoka marekani au europe
Wapo humu humu. Kuna mmoja ni kijana wa miaka 32 kwa sasa. Yule akiandaliwa vema atatuvusha aisee. Ana jicho la tatu kwenye kuona na kutathmini mambo. Shida niliyoibaini kwake kwa haraka haraka atakuwa anaipenda Tanzania hadi kufikia hatua atagombana sana na nchi zenye mlengo wa kuinyonya Tanzania kwa namna moja au nyingine. Ni type ya Patrice Lumumba mchanganyiko na Hayati Nyerere

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
kum* la mm ako
 
kama umependa sura yake mtafute

mwite bafuni akutoe mv hayo

mpuuzi
 
Lini uliona Rais wa Tanzania hajafaulu mitihani.
 
Sawa Bwana Makamba tumekusikia, nikukumbushe ndugu Makamba awamu ya tano ilipoingia tu madarakani ulianza kupiga vijembe kama hivi kwa kufananisha utawala ule na nguruwe au sio wewe uliyepost picha ya nguruwe bwana makamba?
 
Ma.vi yako
 
Huyo january makamba ana nini cha upekee , watu wa pwan huwa wavurugaji ,ndio maana mwenda zake alimfuta kwenye systeam.... Mama kaja kurudisha manyoka ,hatufai hata kidogo
 
Wapiga jaramba wapo wengi, lakini macho na masikio yanaelekezwa kwa Nchemba akiwa kama Magufuli mwingine. Huyu ndiye mwenye uthubutu wa kuvifuta kwa hila vyama makini vya upinzani hapa nchini ili CCM iendelee kubakia madarakani.
 

Umewataja na wapinzani ili kupata uhalali wa huyo muhuni kupewa uraisi?
 
Nyie ndiyo maadui wakubwa wa mama Samia.
 
Makamba tayari ashaanza kuunda makundi ya propaganda kwa uchaguzi wa 2025
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…