Urais unamfaa January Makamba kwa sasa

Yaani hapo ulipomtaja tu Paul Makonda, sijui Ummy Mwalimu, Kalemani, James Mbatia, nk nimeona nichague tu kukupotezea!

Haiwezekani sura zile zile kuamua hatma ya maisha yetu miaka nenda! Tunahitaji sura mpya na mawazo mapya.
Hivi unategemea jipya kutoka kwa mataga?
 
Mnasaidiana kutafuta wateja wa Tanesco Dubai eeh!
Mchukuwe akawe mume wa mama yako ili awaongoze kwenu.
 
Siyo kwa sasa tu, he has been denied this noble opportunity long time. Ni mtu makini, intelligent , exposed, versatile ..... you name it
 
Kama ilivyo ada yetu ni mkristo kisha muislam kisha mkristo then muislam......cycle.

January awali ya yote akabatizwe.
Na kumpigia kampeni sasa ni kumkosesha vyote ataishia kuwa mjumbe tu wa bodi.

Everyday is Saturday................................😎
 
Bora wakristo asee
 
Uraisi mnautamani wengi ila kichwani empty mtu kama pole pole mzee wa kujinasibu na mav8 huyo ni mshamba tu huyu ataturudisha nyuma na sisi tunataka kusonga mbele, haina haja ya kumuweka raisi limbukeni.
 
Huyo hata ukimweka na mpinzani, mpinzani atamshinda kutokana na hasira za watu dhidi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…