Habari za siku mrembo!Umeshapewa buku ten kwanza?
NiNcha ya Mkuki haipigwi kwenzi! Kuna watu walifikiri Samia ni dhaifu, wangemwendesha kama mwanasesere. Wakajidanganya kwamba hakustahili kuwa Rais. Samia ni Rais kwa Matakwa ya Mungu na atabaki hapo kwa muda mpaka Mungu akipenda na siyo akina Polepole na wahuni wenzie walivyotaka!
Kila jambo ni mpango wa Mungu kwenye haya maisha. Mwenyezi Mungu alipanga iwe hivyo na inakuwa.
Kuna watu walikuwa maarufu sana (Lyatonga, Membe, Lowassa, Mtikila, Maalim Seif) kuliko hawa akina Januari, Lissu, Majaliwa, Mwigulu, Gwajima. Lakini wamekufa hawakupata uRais wa Tz
Huyu Bosi wako amekosa kibali Mbinguni na Duniani! Na ushahidi mdogo tu ni haya matumizi makubwa ya nguvu dhidi ya wakosoaji/wapinzani wake, na pia rushwa isiyo na kificho.Ncha ya Mkuki haipigwi kwenzi! Kuna watu walifikiri Samia ni dhaifu, wangemwendesha kama mwanasesere. Wakajidanganya kwamba hakustahili kuwa Rais. Samia ni Rais kwa Matakwa ya Mungu na atabaki hapo kwa muda mpaka Mungu akipenda na siyo akina Polepole na wahuni wenzie walivyotaka!
Kila jambo ni mpango wa Mungu kwenye haya maisha. Mwenyezi Mungu alipanga iwe hivyo na inakuwa.
Kuna watu walikuwa maarufu sana (Lyatonga, Membe, Lowassa, Mtikila, Maalim Seif) kuliko hawa akina Januari, Lissu, Majaliwa, Mwigulu, Gwajima. Lakini wamekufa hawakupata uRais wa Tz
si ilikuwa buku saba, imepanda lini na kuwa buku ten?Umeshapewa buku ten kwanza?
Unataka nikujibuje?!Habari za siku mrembo!
Kipindi cha uchaguzi wanaongezewa afu tatu!si ilikuwa buku saba, imepanda lini na kuwa buku ten?
Ncha ya Mkuki haipigwi kwenzi! Kuna watu walifikiri Samia ni dhaifu, wangemwendesha kama mwanasesere. Wakajidanganya kwamba hakustahili kuwa Rais. Samia ni Rais kwa Matakwa ya Mungu na atabaki hapo kwa muda mpaka Mungu akipenda na siyo akina Polepole na wahuni wenzie walivyotaka!