The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,900
- 18,751
Utanondoka wewe utamuacha, be humble
Ngoja tusubiri huo MPANGO WA MUNGU tutajua nani anaondoka na nani anabaki!!
Utanondoka wewe utamuacha, be humble
Ncha ya Mkuki haipigwi kwenzi! Kuna watu walifikiri Samia ni dhaifu, wangemwendesha kama mwanasesere. Wakajidanganya kwamba hakustahili kuwa Rais. Samia ni Rais kwa Matakwa ya Mungu na atabaki hapo kwa muda mpaka Mungu akipenda na siyo akina Polepole na wahuni wenzie walivyotaka!
Kila jambo ni mpango wa Mungu kwenye haya maisha. Mwenyezi Mungu alipanga iwe hivyo na inakuwa.
Kuna watu walikuwa maarufu sana (Lyatonga, Membe, Lowassa, Mtikila, Maalim Seif) kuliko hawa akina Januari, Lissu, Majaliwa, Mwigulu, Gwajima. Lakini wamekufa hawakupata uRais wa Tz
Yalikuwa mauza unga makwepa kodi yenye vyeti feki mahujumu uchumi haya majitu ya hatari mabinafsi yasiyo na huruma. Sasa hivi yanaiba, yanaua na kufanya yanachotaka yakidhani kuwa yataishi milele bila kujua kuwa na menyewe yatakufa vifo cha aibu na kuacha laana kwa vizazi vyao milele na milele.Hili jamaa wakati wa magufuli lilipokuwa linalalamika utafikiri linaakili timamu kumbe ni jitu binafsi linalopigania masilahi yake na genge lake ,Sasa hivi linasifia ujinga na kulazimisha watu waunge mkono hata mambo ya kijinga
Najuwa utasema ni mungu wako kasema hivyo; nami nakuhakikishia huyo siyo mungu, ni shetani.Huna namna, kuwa mpole mpaka 2030
Yawezekana kweli hatutapata kama huyu, lakini atabakia kwenye historia kama Rais aliyepiga kazi sana. Muangalie kwenye miundombinu, mahospitali kwenye sekta ya afya na utalii.Toka tupate uhuru hatujawahi na haitokaa ijirudie teena kupata rais too low kama huyu mama!
Na ndio maana urais alianzia kwa kurithi kikatiba vinginevyo kamwe isingetokea!
Simlaumu yeye nailaumu KATIBA kuruhusu hilo kutokea!
Sikubaliani na watu kutekwa, nitaendelea kupinga.Wakati WA JPM watu walikuwa wanatekwa na baadhi yao kupotezwa ulipinga sana
Sasahv wakat wa sa100 watu wengi wanatekwa na hawarudi sa100 anasema kifo ni kifo TU kwahy unakubali watu kupotezwa? Unabariki wizi wa mali za wananchi!
Au ww ni mnufaika wa kiuchumi na huu uongozi wa sa100.
Wewe na huyo mungu wako unayemzungumzia ndio mtakuwa hamko vizuri kichwani.Sidhani kama uko vizuri kichwani
Yawezekana kweli hatutapata kama huyu, lakini atabakia kwenye historia kama Rais aliyepiga kazi sana. Muangalie kwenye miundombinu, mahospitali kwenye sekta ya afya na utalii.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
Utapinga vipi utekaji wakati watekaji ni maboss zako?Sikubaliani na watu kutekwa, nitaendelea kupinga.
Peleka porojo zako kwa huyo mama yako. 29 oct sio mbaliNcha ya Mkuki haipigwi kwenzi! Kuna watu walifikiri Samia ni dhaifu, wangemwendesha kama mwanasesere. Wakajidanganya kwamba hakustahili kuwa Rais. Samia ni Rais kwa Matakwa ya Mungu na atabaki hapo kwa muda mpaka Mungu akipenda na siyo akina Polepole na wahuni wenzie walivyotaka!
Kila jambo ni mpango wa Mungu kwenye haya maisha. Mwenyezi Mungu alipanga iwe hivyo na inakuwa.
Kuna watu walikuwa maarufu sana (Lyatonga, Membe, Lowassa, Mtikila, Maalim Seif) kuliko hawa akina Januari, Lissu, Majaliwa, Mwigulu, Gwajima. Lakini wamekufa hawakupata uRais wa Tz
Na uzuri wake upo wapi sasa kama anashauriwa kufanya mabaya naye anakubali kuyafanya?Tunajua Samia ni mtu mzuri sana.
Lakini nani anamshauri kuwa utekaji ni jambo jema na litaendelea miaka yote?
Ni
We ni chawa wa kunuka. Lini ulikutana Mungu? Una uhakika gani hatakuwa kama Magu?Ncha ya Mkuki haipigwi kwenzi! Kuna watu walifikiri Samia ni dhaifu, wangemwendesha kama mwanasesere. Wakajidanganya kwamba hakustahili kuwa Rais. Samia ni Rais kwa Matakwa ya Mungu na atabaki hapo kwa muda mpaka Mungu akipenda na siyo akina Polepole na wahuni wenzie walivyotaka!
Kila jambo ni mpango wa Mungu kwenye haya maisha. Mwenyezi Mungu alipanga iwe hivyo na inakuwa.
Kuna watu walikuwa maarufu sana (Lyatonga, Membe, Lowassa, Mtikila, Maalim Seif) kuliko hawa akina Januari, Lissu, Majaliwa, Mwigulu, Gwajima. Lakini wamekufa hawakupata uRais wa Tz