Yawezekana kweli hatutapata kama huyu, lakini atabakia kwenye historia kama Rais aliyepiga kazi sana. Muangalie kwenye miundombinu, mahospitali kwenye sekta ya afya na utalii.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
Mpango wa Mungu ulikuwa ni kipindi anachokiangalia sasa hivi kuhesabu tangu kifo cha Magufuli. Baada ya muda huo hawana kwani kuna vitu vingi kalazimisha sana, mazabe yamekuwa mengi tena yenye gharama zisizo lipika.Naunga mkono hoja, Thread 'Samia ni mpango wa Mungu kwa Tanzania: Kwa hili atabarikiwa, Taifa litabarikiwa. Asante Mungu kwa Samia, Mungu mbariki Samia, Mungu ibariki Tanzania!' Samia ni mpango wa Mungu kwa Tanzania: Kwa hili atabarikiwa, Taifa litabarikiwa. Asante Mungu kwa Samia, Mungu mbariki Samia, Mungu ibariki Tanzania!
P
Sasa sikia. Utaanza wewe na huo muungu wako wa kike sharmotaUtakuwa wa kwanza kumfuata Magu
Jamaa una roho ngumu wewe.Ndiyo
Alikatiwa maslahi huyu jinga siunawaona wakina zitto kabwe, Fatuma karume, Bashe na mafala wengine kama kina Lusungo yapo kimya kama hamna kinachoendela Tanzania wakati enzi ya Magu yalikuwa Frontline.Jamaa una roho ngumu wewe.
Hivi Magufuli ulikuwa ukimchukia kwa sababu gani ?
Magufuli ndiye mwanzilishi wa uozo wote tunaopambana nao sasa hivi kuanzia kukandamiza demokrasia, kuingilia Mhimili wa Mahakama, kumiliki WASIOJULIKANA kwa ajili ya kuteka na kuua, kuweka bunge butu lenye COVID-19, kuharibu chaguzi za 2019 na 2020.Jamaa una roho ngumu wewe.
Hivi Magufuli ulikuwa ukimchukia kwa sababu gani ?
Kuna matakwa ya tume na matakwa ya MunguNcha ya Mkuki haipigwi kwenzi! Kuna watu walifikiri Samia ni dhaifu, wangemwendesha kama mwanasesere. Wakajidanganya kwamba hakustahili kuwa Rais. Samia ni Rais kwa Matakwa ya Mungu na atabaki hapo kwa muda mpaka Mungu akipenda na siyo akina Polepole na wahuni wenzie walivyotaka!
Kila jambo ni mpango wa Mungu kwenye haya maisha. Mwenyezi Mungu alipanga iwe hivyo na inakuwa.
Kuna watu walikuwa maarufu sana (Lyatonga, Membe, Lowassa, Mtikila, Maalim Seif) kuliko hawa akina Januari, Lissu, Majaliwa, Mwigulu, Gwajima. Lakini wamekufa hawakupata uRais wa Tz
Hapa nakubaliana na ww, he is the source, the blue print,Magufuli ndiye mwanzilishi wa uozo wote tunaopambana nao sasa hivi kuanzia kukandamiza demokrasia, kuingilia Mhimili wa Mahakama, kumiliki WASIOJULIKANA kwa ajili ya kuteka na kuua, kuweka bunge butu lenye COVID-19, kuharibu chaguzi za 2019 na 2020.
Kama asingeanzisha haya Tanzania ilikuwa inaelekea kuzuri kwenye demokrasia iliyokamaa na utawala bora
Bwahahaa maslahi yangu hayajawahi kuguswa na kima yoyote yuleNa wewe umekatiwa masilahi yako na Samia kwa sasa? Ndiyo maana unabweka??
Kwa hiyo Samia unamuunga mkono na haya maovu yake ? Wewe jamaa una roho ngumu kwako damu za watu si kitu kabisa aiseeh sijapata kuonaMagufuli ndiye mwanzilishi wa uozo wote tunaopambana nao sasa hivi kuanzia kukandamiza demokrasia, kuingilia Mhimili wa Mahakama, kumiliki WASIOJULIKANA kwa ajili ya kuteka na kuua, kuweka bunge butu lenye COVID-19, kuharibu chaguzi za 2019 na 2020.
Kama asingeanzisha haya Tanzania ilikuwa inaelekea kuzuri kwenye demokrasia iliyokamaa na utawala bora
Kwani Rais wa sasa nani? Nyie kuna wakati mmezusha kuwa uchaguzi hautafanyika, mara Samia atajiuzulu, mara Samia kakimbilia Uganda, mara Samia atakufa kabla ya uchaguzi. Kikowapi sasa??Kuna matakwa ya tume na matakwa ya Mungu
Usimchanganye Mungu kwenye mambo ya ajabu
Sijaunga mkono uuaji na utekaji unaofanyika, sijaunga mkono pia ukandamizaji wa haki za kikatiba. Bali nimeunga mkono kazi kubwa aliyofanya kututoa kwenye uhayawani ulioanzishwa na Magufuli, japo hajaweza kuumalizaKwa hiyo Samia unamuunga mkono na haya maovu yake ? Wewe jamaa una roho ngumu kwako damu za watu si kitu kabisa aiseeh sijapata kuona
Nyie akina nani?Kwani Rais wa sasa nani? Nyie kuna wakati mmezusha kuwa uchaguzi hautafanyika, mara Samia atajiuzulu, mara Samia kakimbilia Uganda, mara Samia atakufa kabla ya uchaguzi. Kikowapi sasa??