Urais wa Yanga twende na GSM

Urais wa Yanga twende na GSM

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Naam sasa ni muda sahihi wa huyu mdau kuwa rais wa Yanga makamu wake awe Tarimba
Mzee Msolla utatusamehe
 
tumwache msolla amalizie miaka5, aliyo yasimamia si madogo ki vile...…………….
 
Ingekua amri yangu ningemuachia Msolla kwanza. GSM wapewe nafasi miaka ya mbele
 
Weka mambo bayana,hapo GSM apewe nani sasa? Mfanyakazi wa GSM Hersi au tajiri mwenyewe?
 
Kabla ya kuchagua rais wa timu, kwanza elimu itolewe ili kutofautisha majukumu ya raisi vs wawekezaji. Na katiba inasemaje kuhudu mweekeza su mfanyakazi wa kampuni iliyowekeza kuwa raisi wa timu.

N B

Wakati huu ni wakati muafaka wa kuangaika na usajili, na maandalizi ya timu kuelekea michezo ya awali ya klabu bungwa, chokichoko za mambo ya uraisi utaugawa timu kuelekea kwenye maandalizi.

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Masikini nae mtu japokuwa hana kitu,ila mwakalebela ana bahati sana yule hana sifa za kuwa kiongozi wa yanga kweli uchawi upo.
 
Back
Top Bottom