Uraisi SEKOMU mambo hadharani

Uraisi SEKOMU mambo hadharani

sabai

Member
Joined
Dec 17, 2012
Posts
69
Reaction score
7
Jana jioni tume ya uchaguzi SEKOMU-SO kupitia mwenyekiti wake Bwana Samara, ilitoa majina ya kuwania urais kwa msimu wa mwaka 2015/2016 kama ifuatavyo: Jacob kitunga Dickson Mkingi na Shabani Gwao Charles nsyuka kuondolewa kwa kigezo cha G.P.A na KOnzo kukosa mgombea mwenza. nakampeni zimezinduliwa jana rasmi na siku ya uchaguzi ni tarehe 17/04/2015

kwa hali halisi ilivyo wanasekomu wote jacob anawafaa sana achaneni na Dicksoni kwani kwa asili yake tu ni mtu mbaya sana sijui wadau nyie mna maoni gani
 
Me niliishia form 4 nikafeli,lakini najua vyuo vilivyopo tz ni udsm,sua,udom,muhimbili,mzumbe,ardhi,muccobs na saut.je hicho sijui sekomu kiko wapi na kinachukua watu wenye pass mark zipi?
 
Me nimesoma shule moja ya seminary ya kkkt kuna bweni linaitwa askofu sebastian koloa huenda hata hicho chuo kimebeba hilo jina
 
SEKOMU ni kifupi cha jina la chuo'Sebastian Kolowa Memorial University' chenye Makao makuu Arusha.Chuo hiki kinatawi lake Lushoto,Tanga katika kijiji cha Magamba na sehemu nyingine za Tanzania.
 
SEKOMU ipi mkuu,mimi natokea Tanga,lushoto,nafahamu tawi lililopo Magamba
 
Me nimesoma shule moja ya seminary ya kkkt kuna bweni linaitwa askofu sebastian koloa huenda hata hicho chuo kimebeba hilo jina

Mbona hilo jina ni la mtangazi wa ITV HABARI za michezo
 
Back
Top Bottom