JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Kabisaaa.YAMETIMIA. Tego limekubali.
Ded: Nimekupata Yesu - Ambassadors of ChristKaona ana miaka 60 na hana kitu, dah, maisha bila Yesu ni ubatili mtupu. Hata ukiwa choka mbaya kiasi gani, Yesu anakupa faraja na tumaini jipya kila wakati.
Aliyetuumba pia hapendezwiHalafu kuna wapumbavu walitunga sheria kuwa kujiua/kujaribu kujiua ni kosa kisheria!!!
Kweli kabisaKaona ana miaka 60 na hana kitu, dah, maisha bila Yesu ni ubatili mtupu. Hata ukiwa choka mbaya kiasi gani, Yesu anakupa faraja na tumaini jipya kila wakati.
Nchi ni secular. Wengi wanaojiua ni shida za kisaikolojia. Si kwamba wanapenda.Aliyetuumba pia hapendezwi