Uranium Mkuju: Serikali imetoa leseni bila kujali madai ya Kodi

EMT, leseni isainiwa, mwenye nayo hachukui hadi alipie pango la kiasi kadhaa
Ukisema suala la kodi, naona unaingia katika MDA zaidi, haihusiani na leseni kusainiwa.

Au nakosea?

Hizo technicalities sizifahamu. Mie nimekufahamisha tuu usije ukashangaa unaletewa notice ya kuondoka kama Wamasai kule Loliondo.

BTW, Mining Weekly reported last month that Uranium One, which is currently in the process of being privatized by its largest shareholder, ARMZ, reported a fourth quarter net loss of $68.8 million after writing down its Mantra Resources investment.

As quoted in the market news: "The uranium miner said it wrote down the value of its investment in Mantra by $102.3-million as a result of delays in the expected initial production, mainly from permitting delays at Mantra's Mkuju River project, increased capital expenditure experienced in the industry, and lower uranium prices led to the write down: http://uraniuminvestingnews.com/14029/uranium-one-reports-68-8m-q4-net-loss.html

Tuko wote hapo kwenye bold?
 
Hapo kwenye bold ni tatizo sana

Anyway, hata mie si mtaalamu sana, ila sitashangaa kama wamepata hasara.

Bei ya uranium haijakaa vizuri sana tangu yale yaliyotokeaa kule fukushima, ukijumlisha na delays lazima wana kimbembe chao.

Plus technolojia za hayo makitu, recovery haiwezi kuwaa 100%

Bora nimefahamu nihamishe mizinga yangu ya nyuki kabla hawajaja

 
The Tanzanian Ministry of Energy and Minerals granted its first uranium mining licence to Mantra Tanzania, a subsidiary of Australia-based Mantra Resources, Tanzania's The Citizen reported Tuesday (April 9th).
Mantra Resources is owned by Russian uranium company AtomRedMetZoloto (ARMZ), which will put the operation of the Mkuju River mining site under the control of Canada-based Uranium One, which ARMZ acquired in 2012.
ARMZ and its subsidiaries expect to produce 14,000 tons of uranium annually from the Mkuju River, which has measured resources of 36,000 tonnes of uranium and inferred resources of a further 10,000 tonnes.
The first major uranium mining development in south-eastern Tanzania, Mkuju River is expected to bring Tanzania up to 728 billion shillings ($450 million) in foreign direct investments, 405 billion shillings ($250 million) in foreign currency receipts and create 1,600 jobs.
The site was excised from the Selous Game Reserve last year after receiving approval from the UN Educational, Scientific and Cultural Organisation.
 
UraniumOne sahivi wapo wanafanya feasibility study na deposit report review, muda wowote mid of next year wataanza mining construction, Pembeni ya hiyo project ya Mantra kuna tena kampuni nyingine kutoka Russia inaitwa MALASIRI nao muda si mrefu watamaliza stage ya kwanza ya exploration. Unesco nao bado hawajatoa license yao ya kuruhusu uranium inanze kuchimbwa sijajua NEMC yetu nao wapoje katika suala hili. Automatically capital gain tax tushaikosa.
 
Soma report ya mwaka 2008 ''A Goldern Opportunity; How Tanzania is failing to benefit from Gold mining''. Then hutashangaa hayo ya Uranium....
 
Ukifika mkuju utatamani kuzimia , hasa ukiangalia hizo siasa zinzvyopigwa na ukweli halisi watu wa maeneo hayo ni masikini wa kutupwa, na hiyo mikataba ni zaidi ya 10% kwa wakubwa wachache, uranium one wako site kitambo sana hata bila serikali kujua.... Nchi hii sijui tumerogwa au ni vipi?? Lakini nahisi hizi rasili mali zitakuja kuleta mauti makubwa badae.
 

cc Kongosho
 
Last edited by a moderator:

Mkuu feasibility study inayofanyika sasa ni kuhusu deposit iliyopo pale na kuanza kuplan ramani nzima ya uchimbaji wa hiyo uranium. Inapofikia stage hii inatakiwa masuala ya kodi yote yawe yashamalizwa then ndo mambo mengine yaendeleee, Capital gain tax inauhusiano wa moja kwa moja kama ifuatavyo, kipindi wakati inauzwa TRA walipaswa kukusanya kodi yao kama ivyotakikana alafu ile tax compliance certificate ndo ingeruhusu hii stage waliyopo kufanyika.

Nimejaribu kukujibu kawaida sana bila kwenda deep zaidi ili mtu wa kawaida amabaye hayupo kwenye mining field naye aelewe.

Hili suala la extraction of natural resources kwa Tanzania tumeriwahi sana aiseee, hapa ilipaswa itengenezwe timu hata kwa miaka saba ijayo ndo tuanze uchimbaji huo. Sasa tusibirie kwenye kituko cha gesi hapo lazima tukae chini tuu.
 

cc Kongosho
 
Last edited by a moderator:
Mmh, feasibility study ni nini?
Inaanza kufanywa wakati gani?

Na je, feasibility study inauhusiano gani na lesenoi ya uchimbaji?

Tukishajua hayo, tunaweza kujua wapi capital gain tax ilitakiwa ilipwe in relation na kusainiwa kwa leseni.

Hapo blue, je unaweza omba leseni ya uchimbaji bila kufanya feasibility study??

Je, Mine plan=feasibility study?
cc EMT

 
Last edited by a moderator:
Reactions: EMT


aluta continua
 
Okay, nimeuliza maswali hayo sababu hii ishu ya capital gain tax imeanza baada ya leseni ya uchimbaji
Nilikuwa sioni mantiki ya kusainiwa leseni halafu na kulipa capital gain tax

Kwa hiyo hii iliakiwa ilipwe wakati wana-transfer ownership, na anayelipa ni nani, mnunuzi ama muuzaji?

Feasibility study ambayo serikali ina interest nayo ni ile unayopeleka wakati za kuomba kibali cha uchimbaji, hizo feasibility zingine ni kwa matumizi ya ndani ya kampuni. Utalazimika kurudia feasibility study na kuipeleka serikalini endapo umeamua kubadili vitu fulani fulani kwenye maombi yako ya awali.

Nadhani stage walofikia ni mine plan.

aluta continua
 
Reactions: EMT

Nashukuru kwa kunielewa.
Anayepaswa kulipa Capital gain tax hapo alikuwa ni Mantra Resources (muuzaji)

Stage waliyofikia inaelekea kwenye mine plan but bado haijafikia mine plan, kuna some technical and social issue bado wanareview na kuzifanyia study upya then ndo waanze mine plan ambayo itasaidia kupata funds either kufloat kwenye SEM (stock exchange market) or investor kuemburse funds ajili ya mine construction.
 

Kwa hiyo Capital gain Tax haiiusu kabisa Uranium One, kifupi tumeliwa!
Vipi ikiwa Uranium one watauza sehemu ya hisa napo itahitajika walipe Capital gain Tax? na kama wata-float kwenye
hizo Stock exchange market na kuongeza mtaji watapaswa kulipa kodi yeyote kutokana na watakachopata?

Na ni nani (Serikalini) anayemonitor hizo gharama za feasibility study ili kuhakikisha tupo kwenye safe side jamaa
wasiongeze au kupunguza gharama za FS kwa maslahi yao?

Kwenye hayo mauziano huko nje tunajuaje kwa hakika kwamba deal iliyofanyika ni USD 900 na si vinginevyo.
Hivi ilipaswa Mantrac waieleze Serikali kwamba tunataka kuuza mradi huu, ama wajibu wao ni kuitaarifu Serikali
kwamba tumeshauza kwa kiasi hiki?

CC: Kongosho EMT
 
Last edited by a moderator:
Reactions: EMT

Mkuu nadhani unaijua TANZANIA MINERAL AUDIT AGENCY.Hii agecy kazi yao ni kukagua hii migodi sasa sijajua kama huwa wanausika tena wakati wa mauziano au transfer ownership kwa mining companies. NIFUATILIE KWENYE BLUE NIMEKUJIBU MASWALI YAKO
 
Mkuu nadhani unaijua TANZANIA MINERAL AUDIT AGENCY.Hii agecy kazi yao ni kukagua hii migodi sasa sijajua kama huwa wanausika tena wakati wa mauziano au transfer ownership kwa mining companies. NIFUATILIE KWENYE BLUE NIMEKUJIBU MASWALI YAKO

Duh! hii hatari. Unaweza kupata mtikisiko wa Ubongo hivihivi!
ila asante kwa Maelezo. Najua na wewe hata kama hupati mgao lakini angalau chengachenga
hazikupiti ati! ninyi ndiyo Wataalam wenyewe lol
 
Reactions: EMT
Duh! hii hatari. Unaweza kupata mtikisiko wa Ubongo hivihivi!
ila asante kwa Maelezo. Najua na wewe hata kama hupati mgao lakini angalau chengachenga
hazikupiti ati! ninyi ndiyo Wataalam wenyewe lol

Hahahahhahahaah, mkuu utanivunja mbavu, me ni mtu wa Finance tuu katika mining industry, hayo nimeyajua kutokana na kupenda kujisomea article mbalimbali sababu nafanya kazi katika hii field ya mining. Sipati hata chengachenga wala vumbivumbi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…