Hahahahhahahaah, mkuu utanivunja mbavu, me ni mtu wa Finance tuu katika mining industry, hayo nimeyajua kutokana na kupenda kujisomea article mbalimbali sababu nafanya kazi katika hii field ya mining. Sipati hata chengachenga wala vumbivumbi.
Hii nchi bana haina mpangilio ktk matumizi ya lasili mali, madini ya zahabu, tanzanite, aridhi, gesi haya huku urenium tunauza nyote ndani ya miongo miwili (mkapa na kikwete) je vizaz vijavyo vitauza nn maana ndo jia pekee ya uchumi tulio jiwekea vilaza sisi. always we follow under weak sustainable policy. hebu mlioko karibu na watawala muwashauri.
Vipi ikiwa Uranium one watauza sehemu ya hisa napo itahitajika walipe Capital gain Tax? na kama wata-float kwenye
hizo Stock exchange market na kuongeza mtaji watapaswa kulipa kodi yeyote kutokana na watakachopata?
Kwenye hayo mauziano huko nje tunajuaje kwa hakika kwamba deal iliyofanyika ni USD 900 na si vinginevyo.
Hivi ilipaswa Mantrac waieleze Serikali kwamba tunataka kuuza mradi huu, ama wajibu wao ni kuitaarifu Serikali
kwamba tumeshauza kwa kiasi hiki?
CC: Kongosho EMT
Kuna hii habari ya January 2013. Inavyooneka Uranium One in public company lakini wanataka kwenda private. Nini implications za Uranium One kwenda private?
Uranium One to go private in $1.3bn deal
Uranium One will become the operator of the Mkuju River Project immediately upon completion of the acquisition of Mantra by ARMZ, and will be responsible for the continued advancement of the Mkuju River Project towards commencement of production.
Russia's state uranium firm has agreed to pay $1.3 billion to take Canada's Uranium One Inc private, as the successor to the Soviet Union's nuclear industry seeks to strengthen its grip on supplies.
Atomredmetzoloto and affiliate Effective Energy N.V. - together known as ARMZ - said they would buy the shares in Uranium One they do not already own in a deal valuing Canada's No.2 uranium producer at C$2.74 billion ($2.8 billion).
ARMZ, which along with affiliates currently owns 51.4 percent of Uranium One's common shares, will pay C$2.86 per share, a premium of 19 percent over the stock's Friday close.
The C$1.33 billion deal will help ARMZ consolidate control over uranium assets in the former Soviet Union, and also strengthen access to reserves in Australia and South Africa. Uranium One's business is focused in Kazakhstan, where ARMZ has also been building its asset base.
Kazakhstan is the world's top uranium producer, with more than double the output of No.2 producer Canada in 2011, data from the World Nuclear Association showed. Its output quintupled between 2004 and 2011. Toronto-based Uranium One is also the operator of the Mkuju River project in Tanzania.
ARMZ is the mining arm of Rosatom, Russia's nuclear regulator. The company was formed as the successor to the Soviet nuclear ministry, then reformed to specialise in uranium mining as well as rare and rare earth metals.
The deal includes a non-solicitation covenant, under which Uranium One will not seek other bids, as well as a right for ARMZ to match any rival offers. It also requires Uranium One to pay a termination fee equal to C$45 million under certain circumstances.
The transaction, approved by Uranium One's board, is expected to be completed in the second quarter of 2013, the company said in a statement. Canaccord Genuity Corp was the financial advisor to the independent committee that was set up by the Uranium One board for this deal, while ARMZ was advised by BMO Capital Markets.
Uranium One to go private in $1.3bn deal - URANIUM - Mineweb.com Mineweb
cc. Kongosho, TheOne
Kuna hii habari ya January 2013. Inavyooneka Uranium One in public company lakini wanataka kwenda private. Nini implications za Uranium One kwenda private?
Uranium One to go private in $1.3bn deal
Uranium One will become the operator of the Mkuju River Project immediately upon completion of the acquisition of Mantra by ARMZ, and will be responsible for the continued advancement of the Mkuju River Project towards commencement of production.
Russia's state uranium firm has agreed to pay $1.3 billion to take Canadas Uranium One Inc private, as the successor to the Soviet Unions nuclear industry seeks to strengthen its grip on supplies.
Atomredmetzoloto and affiliate Effective Energy N.V. - together known as ARMZ - said they would buy the shares in Uranium One they do not already own in a deal valuing Canadas No.2 uranium producer at C$2.74 billion ($2.8 billion).
ARMZ, which along with affiliates currently owns 51.4 percent of Uranium One's common shares, will pay C$2.86 per share, a premium of 19 percent over the stock's Friday close.
The C$1.33 billion deal will help ARMZ consolidate control over uranium assets in the former Soviet Union, and also strengthen access to reserves in Australia and South Africa. Uranium One's business is focused in Kazakhstan, where ARMZ has also been building its asset base.
Kazakhstan is the world's top uranium producer, with more than double the output of No.2 producer Canada in 2011, data from the World Nuclear Association showed. Its output quintupled between 2004 and 2011. Toronto-based Uranium One is also the operator of the Mkuju River project in Tanzania.
ARMZ is the mining arm of Rosatom, Russia's nuclear regulator. The company was formed as the successor to the Soviet nuclear ministry, then reformed to specialise in uranium mining as well as rare and rare earth metals.
The deal includes a non-solicitation covenant, under which Uranium One will not seek other bids, as well as a right for ARMZ to match any rival offers. It also requires Uranium One to pay a termination fee equal to C$45 million under certain circumstances.
The transaction, approved by Uranium One's board, is expected to be completed in the second quarter of 2013, the company said in a statement. Canaccord Genuity Corp was the financial advisor to the independent committee that was set up by the Uranium One board for this deal, while ARMZ was advised by BMO Capital Markets.
Uranium One to go private in $1.3bn deal - URANIUM - Mineweb.com Mineweb
cc. Kongosho, TheOne
Ndg wana Jamii Forum;
Nilisoma kauli ya Mhe Zitto kabwe kuhusu kutolewa kwa leseni ya uchimbaji wa madini ya Urani kwa Mradi wa mto Mkuju. Nimefanya uchunguzi na kijiridhisha hivyo ninapenda kutoa mchango wangu ili wengine wasipotoshwe kama ambavyo hata mimi nilikuwa naelekea kupotoshwa.
Kwanza; nina mshukuru kwa mchango wake kuhusu swala la leseni ya Mradi wa Urani ambayo anasema imeshatolewa na kwamba yeye ana hoja nzito na swala hili. Kama kweli imetolewa basi; Leseni imetolewa kwa mujibu wa sheria ya madini ambayo haina masharti anayoyaelezea Mhe. Zitto. Na yeye ni mmoja wa wahusika wakubwa sana katika mchakato mzima wa sheria hii ya 2010. Yeye mwenyewe alishiriki katika Tume ya Madini iliyoundwa na kupelekea kuwa na rasimu ya sheria mpya na zaidi sana ameshiriki kuipitisha kama Mbunge.
Pili; kama TRA wana kesi Mahakamani, utoaji wa Leseni haufuti deni la Wahusika kama kweli lipo. Kwa lugha nyingine, sio kweli fedha hizo anazodai kwamba zimepotea, zitakuwa zimepotea kwa sababu ya kutolewa kwa Leseni husika.
Tatu; ni vyema Mhe. Kabwe akaelewa kuwa mchakato wa kutoa Leseni ni wa kisheria chini ya Sheria ya madini ya mwaka 2010 inayomtaka Mheshimiwa Waziri atoe Leseni ikiwa mwombaji katimiza masharti yaliyoambatishwa katika sheria hiyo. Hakuna sharti la kulipwa kwa Capital Gain Tax (CGT) kama anavyoliongelea.
Mwisho; Suala la ulipaji wa CGT halina uhusianao wa moja kwa moja na utoaji wa Leseni. Na hata kama swala hili ni halisi na la kweli, itakuwaje mabadiliko ya sheria ya mwaka 2012 yawe kigezo kwa tukio la mwaka 2011? Lakini la zaidi na la msingi nadhani Masuala hayo mawili yanatakiwa kushughulikiwa tofauti na ndivyo itakavyoendelea kufanyika. Hii ni kwa mujibu wa sheria za nchi na kwa kuwa Serikali inazingatia utawala wa sheria tunajua ndivyo itakavyofanya. Serikali haitawali kwa kutumia utashi wa mtu anavyotaka. Kama lengo ni kushughulikia maendeleo na utawala wa kisheria basi ni vema kuheshimu sheria na kushughulikia maendeleo ya sekta na watu kwa dhati bila kupotosha umma.
Mkuu just out of the mining industry lakini within the capital gain tax.
Hivi karibuni Barclays Africa ili-take over ABSA Group.
ABSA Group walikuwa ni mmoja wa wamiliki wa NBC na wataendelea kuwa wamiliki after the takeover.
Je, kwenye hili deal kulitakiwa kuwe na capital gain tax?
If so, nani anatakiwa kulipa hiyo capital gain tax na lini?
Kama kuna anayetakiwa kulipa capital gain tax, tayari TRA wemeshachukua chao?
Sasa ukisoma vizuri hayo maelezo ya maana ya CGT, Utagundua sio nchi zote duniani zinachaji CGT. Naomba kama unaweza nipa agreement iliyofanyika btn ABSA and Barcklays Africa. Hapo tutakuwa na mwanga zaidi wa kuweza kudadavua ilipaswa vipi kulipwa hiyo CGT.