Urasimu mpya unaletwa kupitia kauli ya uli 'Mfumo Unasumbua'

Rwanda wao wanafanyaje?
 
Kwahiyo to privatize taarifa nyeti za serikali.
 
Jamaa yangu ameomba mkopo crdb kwakuwa wenyewe wamefilisika mkopo ukachukua mwezi na sasa anaenda mwezi wa pili maana halmashauri aliyopo mfumo unasumbua hivyo hawawezi ku upload makato
 
Jamaa yangu ameomba mkopo crdb kwakuwa wenyewe wamefilisika mkopo ukachukua mwezi na sasa anaenda mwezi wa pili maana halmashauri aliyopo mfumo unasumbua hivyo hawawezi ku upload makato
Nasikia ni tanzania nzima
 
Mifumo Leo imewatoa watu kazini huko TANESCO. Jampo nahis wameonewa tatizo hili ni kubwa sana.
 
Mifumo Leo imewatoa watu kazini huko TANESCO. Jampo nahis wameonewa tatizo hili ni kubwa sana.
Lilitakiwa liondoke na top boss wao ili viongozi wajue kuwajibika
 
Na raisi hata kufokea hajafokea.

Watanzania sijui tumemkosea Nini mungu
 
Na raisi hata kufokea hajafokea.

Watanzania sijui tumemkosea Nini mungu
Hili nahis pia nahis linachangia kushuka kwa mapato ya serikali. Tunashauri mifumo iboreshwe haraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…