Baada ya kutungwa kwa sheria ya mabadikiko katika mifuko ya hifadhi ya kijamii na Kubaki PSSSF na NSSF kumekuwa hakuna ushindani kabisa.
Especially kwa Wazee wanapostaafu hupata shida sana kupata mafao yao kwa wakati muafaka.
Pia kwa wale ambao hawajatimiza muda wa kustaafu wamekuwa wskisumbuka sana kupata haki zao kwa kupatiwa pesa zao kwa muda muafaka.
Ni maoni yangu kuwa serikali iingilie kati kwa na kutengeneza sera nzuri ili kuhakikisha wazee wastaafu wanakipwa mapema bila usumbufu.