Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira wilayani Maswa mkoani Simiyu (MAUWASA) imeanza kujenga tanki kubwa la maji lenye ujazo wa lita miloni moja ambalo likikamilika litaondoa tatizo la maji linalowakabili wananchi wa wilaya ya Maswa.
.
ITV imetembelea na kujionea ujenzi wa tanki hilo linalojengwa katika kilima cha Nyalikungu mjini Maswa na kuwakuta mafundi wazawa wakiendelea na kazi hiyo ambapo mafundi hao walisema kuanza kwa ujenzi huo kumewasaidia kupata ajira kwani wafanyakazi wote wametoka wilayani hapo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.