Northern Lights
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 395
- 357
Na matumizi ya Space husika, mf. Kanisa, Ukumbi n.kHali ya hewa, tamaduni, fashen vinaamua!
Headroom inatakiwa iwe 3m ila 3.5 sio mbaya ikizidi hapo labda iwe ghorofa ila inaondoa amani fulani hv
Nunua vitu jaza chumba hicho mkuuu,ukinunua kabati tu mwangwi ukatika
shida ni kwamba hicho chumba kama nakiona hapa kwenye mitambo yangu [emoji2089]
Vingi ni mita tatu. Hicho chumba hakina vitu weka vitu upige chini hizo echo & reverberation!
Sababu ni kwamba. Chumba kiko tupu.Rejea kichwa cha habari,
Kwa kawaida nyumba inatakiwa kuwa na urefu kiasi gani kutoka kwenye floor hadi kwenye ceiling. Nimeinhia nyumba moja hapa ni ndefu sana kiasi kwamba ukiongea sauti inakuwa na mwangwi (echo).
ASANTE
Sm 170 mpaka 150 inategemea na siling utaweka ya aina ipi. Hiyo itatoa maelekezoRejea kichwa cha habari,
Kwa kawaida nyumba inatakiwa kuwa na urefu kiasi gani kutoka kwenye floor hadi kwenye ceiling. Nimeinhia nyumba moja hapa ni ndefu sana kiasi kwamba ukiongea sauti inakuwa na mwangwi (echo).
ASANTE
Mpe fundi seremala anajua namna ya kurekebisha kitanda kwa kukuwekea hen'ga katika mifumbati yate miwili huta angaika tena.Hivi chumba kikiwa kifupi unawekaje chandelier?.
Samahani mkuu, namaanisha hizi taaMpe fundi seremala anajua namna ya kurekebisha kitanda kwa kukuwekea hen'ga katika mifumbati yate miwili huta angaika tena.
Ok hiyo kazi inategemea na dari uimara wake maana ni nzito ni sawa na fan za pangaboi.Samahani mkuu, namaanisha hizi taaView attachment 1849038
Umeelewa swali? Unabwabwaja tu.Ok hiyo kazi inategemea na dari uimara wake maana ni nzito ni sawa na fan za pangaboi.
AiseeeeMpe fundi seremala anajua namna ya kurekebisha kitanda kwa kukuwekea hen'ga katika mifumbati yate miwili huta angaika tena.
Mkuu sm170 ni urefu wangu, hii nyumba au kichuguu?Sm 170 mpaka 150 inategemea na siling utaweka ya aina ipi. Hiyo itatoa maelekezo